Nafikiri kwenye hii biashara ilikuwa ni biashara kichaa kwa pande zotekwenye dili la sanchez na mkhitaryan hakuna mwenye uthubutu wa kumcheka mwenzake, tofauti kubwa ilikuwepo kwenye maslahi ya wachezaji binafsi
cha ajabu mzigo wa matusi tunaangushiwa peke yetu labda ni kwa sababu ya mshahara tunaomlipa sanchez (lakini kwa nyakati zile isingelikuwa rahisi kumshawishi sanchez kuondoka arsenal kwa mshahara wa kawaida sana)Nafikiri kwenye hii biashara ilikuwa ni biashara kichaa kwa pande zote
labda ole ajifiche kwenye hoja ya kucheza na passing, kwenye hoja ya kulinda smalling ni bora zaidi kuliko lindelof na tuanzebeNi kweli sijajua nini kinachompa kiburi Solkjaer kumuondoa Smalling na kumbakiza Tuanzebe.
Timu za italia siku hizi zinachukua watu ambao wameanza kuwa hawatoshi kwenye EPL..kina Moses,Ramsey,Young,Herrera n.kjuventus na AS ROMA wameona jambo gani la umuhimu ambalo sisi mashabiki wa man utd hatulioni kutoka kwa smalling?
Obvious Smalling mwenyew aligoma kuwa third CB.Ni kweli sijajua nini kinachompa kiburi Solkjaer kumuondoa Smalling na kumbakiza Tuanzebe.
Mara nyingi build up ya team ya Ole inaanzia kwa center backs hawa ndiyo hupandisha mpira mpaka juu ya mstari.labda ole ajifiche kwenye hoja ya kucheza na passing, kwenye hoja ya kulinda smalling ni bora zaidi kuliko lindelof na tuanzebe
labda unadhani sababu kubwa ni ipi?Timu za italia siku hizi zinachukua watu ambao wameanza kuwa hawatoshi kwenye EPL..kina Moses,Ramsey,Young,Herrera n.k
So ni haki yao..Smalling kwa standard tunayoitaka United haingii tena aisee..aje labda awe backup tu
Arsenal walishazoea Mateso na kusajili flops halafu Arsenal imeshaondoka tena kwenye hadhi ya team kubwa hivyo hasara mapungufu yoyote ya kiuongozi hayapewi uzito kama yanavyopewa kwa united.cha ajabu mzigo wa matusi tunaangushiwa peke yetu labda ni kwa sababu ya mshahara tunaomlipa sanchez (lakini kwa nyakati zile isingelikuwa rahisi kumshawishi sanchez kuondoka arsenal kwa mshahara wa kawaida sana)
Mkuu hata chriss smalling naye ametokea kuaminika kwel As Roma na kuna mechi anapiga had assist yani kama sio yule wa man ulabda unadhani sababu kubwa ni ipi?
juzi nimemuona ashley young kwa dakika 30, Inter milan hawakuwa wakimiliki mpira muda wote ila kilichokuwa kinanishangaza ni kumuona ashley young muda mwingi anakimbia na kuoverlapping.
nikawa najiuliza hii pumzi anaitolea wapi.
nimewaza;Mara nyingi build up ya team ya Ole inaanzia kwa center backs hawa ndiyo hupandisha mpira mpaka juu ya mstari.
matusi makubwa sana haya.....wenyewe bado wapo haiArsenal walishazoea Mateso na kusajili flops halafu Arsenal imeshaondoka tena kwenye hadhi ya team kubwa hivyo hasara mapungufu yoyote ya kiuongozi hayapewi uzito kama yanavyopewa kwa united.
Sana na Wan Bissaka pressure ya kutaka ashambulie naona imecompromise sana uwezo wake defensively.nimewaza;
smalling ukimweka upande mmoja na wan bissaka ni majanga matupu
teh teh teh
kama hatumuhitaji nadhani solution tunapaswa tutafute mlinzi anayevuka udhaifu wa maguire na lindeloffMkuu hata chriss smalling naye ametokea kuaminika kwel As Roma na kuna mechi anapiga had assist yani kama sio yule wa man u
Hawako tena kwenye level ile ya mwanzo hivyo makosa madogo madogo hayapewi sana nafasi ya mijadala na yanaonekana ya kawaida sana.matusi makubwa sana haya.....wenyewe bado wapo hai
Kweli hakuna namna..
Au tumuuze akacheze league 2 au championship huko.
Anakuja Arsenal huyo., nimesikia Arteta anahitaji huduma yake
kwa mtiririko wa uandishi wako ni dhahiri ya kwamba arsenal hawafanani na sisi, kwa sababu united bado tuna uwezo wa kujificha kwenye hoja ya kipindi cha mpito ila udhaifu wa arsenal umedumu kwa takribani miaka 16 (si mpito tena bali ni kuporomoka)Hawako tena kwenye level ile ya mwanzo hivyo makosa madogo madogo hayapewi sana nafasi ya mijadala na yanaonekana ya kawaida sana.
Hebu jaribu kutafakari sasa hivi Arsenal kuzishinda zile timu za juu nne na Tottenham limekuwa jambo la kushangaza kwamba Arsenal kawezaje kushinda mechi kubwa wakati huo huo Arsenal kufungwa na timu ndogo kama Aston Villa siyo habari tena ni jambo la kawaida tu.
Unaweza kuona namna gani Arsenal ilivyoporomoka mkuu
ni installment au kwa malipo ya jumla?Dili la Sancho likikamilika litambakisha United mpaka June 2025, makubaliano baina ya timu (Manchester United) na mchezaji yamekamilika.
Yanasubiriwa makubaliano kati ya BVB na United kukamilisha dili la Sancho - Fabrizio Romano (via: Instagram)
AS Roma wametoa ripoti kua wanamrudisha Smalling Man UMkuu hata chriss smalling naye ametokea kuaminika kwel As Roma na kuna mechi anapiga had assist yani kama sio yule wa man u
Hapa ndiyo panapokwamisha dili, United wanataka walipe kwa installments. Hivyo bado hawajafikia maelewano baina ya timu na BVB wanataka kujua muafaka wa dili hilo mwezi huu August ili kama Sancho ataondoka watafute replacement yake. Depay yupo kwenye list ya Dortmund kama mmbadala wa Sancho.ni installment au kwa malipo ya jumla?