Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moja ya kitu muhimu kinachofanya Team kuwa na defence nzuri.
Ni kuwa na kipa mzuri ambaye backline watamwamini.


Kwasasa pale ManUnited hiki kitu hakipo.
Maguire-Victor naona hawana imani na De gea.
Ikipigwa shot yoyote kuna walakini kama de gea atasave
.
Results ni backline kucheza bila confidence>>>kucheza chini ya kiwango.
 
Magwaya amesaidia sn..basi tu ni inderrated kulingana na price tag yake..LAKINI JE WAJUA KAMA MAN UTD NDIO TIMU PEKEE ULAYA(top 5 leagues) YENYE CLEAN SHEETS NYINGI KULIKO WENGINE!!??
unadhani hayo matokeo yamekujaje..DEFENSE yetu inaimprove!!
Pale hamna kitu, sababu tu team work, ila na famba nyi gi afu hana pace
 

Hato maneno tu ya kwenye media kwamba jezi zinarudisha hela ya kumnunua mchezaji kumtambulisha tu

Jezi,Kits hela ya mauzo ni ya mtengenezaji(Adidas,Nike,Puma etc) kwa asilimia 85 na 15%iliyobaki ndio hela ya Club

Sasa imewahi tokea jezi zenye jina la mchezaji zikatoa pauni hata milioni 30 kwa kupitia hiyo 15% share ya mauzo ya jezi?
 
Huyu Sanchez kawa kichomi kweli kwetu sijui mzimu wake utatuandama mpaka lini aisee.

Nimeona pia taarifa Man united wanataka kumtumia Sanchez na Smalling kama ndoano ya kumsajili Skinniar.
Heee
Sanchez hamumtaki tena?!

Si mlimchukua kwa mbwembwe nyie.. Arsenal wakaona isiwe tabu, wakawalisha bomu mdomoni.

Ni kiasi cha muda tu, msubiri liwaripukie.

Nyumbuuuu
 
Heee
Sanchez hamumtaki tena?!

Si mlimchukua kwa mbwembwe nyie.. Arsenal wakaona isiwe tabu, wakawalisha bomu mdomoni.

Ni kiasi cha muda tu, msubiri liwaripukie.

Nyumbuuuu
kwenye dili la sanchez na mkhitaryan hakuna mwenye uthubutu wa kumcheka mwenzake, tofauti kubwa ilikuwepo kwenye maslahi ya wachezaji binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…