Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliwahi kuwaambia mashabiki wa timu flani wapige screenshot kabisa maana hizo namba za juu kwenye ligi ni za wakubwa, kama walishupaza shingo basi ndio hawana tena kumbukumbu


Kuna vitimu vimekaa top 4 karibu msimu mzima, halafu leo vimeangua namba 4,yaani vitaenda kucheza play off na timu za Uzbekistan ili waje wacheze UCL
 
League table
 
Leicester City amekaa top 4 almost 95% ya msimu wote.
 
sikuiz playoffs hkun mzee kwa league za izi tano tngu mwaka jana hkuna play off
 
Mnafiki sana wewe
umemchonga Lingard saiv unajiimbisha mapambio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…