Man City wameshafanya Old Traford kama uwanja wao wanyumbani!! Kumbuka last year it was 6-1 and now 2-1!!!!!
Mashoga mambo yamewashinda
Khe khe khe khe khe khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nachikia ati Nzi karudi .... ....
ndetichia kawatomasa Man UTD kisha akawachutamisha...
Subirini hapo tarehe 4 ya Mei, pale mtakapotoa 'guard of honour' kwa wababe wa ligi.
Nafikiri mmeshazoea vitu kama hivi...
Chifu Mentor unaongea vitu gani? Kama tukienda game by game bado mtakuwa losers tu. Man City tuliwapiga 3-2 kwao; wao wametufunga 2-1 OT. Sasa kwa aggregate score inakuwa ni 4-4, lakini United wanaibuka wababe kwa away goal. Tukija kwa Chelsea,tuliwapiga hapo darajani 3-2, na tarehe 4 ya Mei mnakuja OT, uwezekano wa kupigwa tena upo.Sasa hapo unavyosema the whole of England is blue [/B] unaelewa unachokizungumzia?!?MASHKINI NYIEEEE....Makombe mwishoni tunaangalia game by game..u were humiliated by US..the BLUES, then annihilated by MAchester City..Now, the Whole of England is BLUE...!!! khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
RVP amekuja kuchukua kombe Manu baada ya kuona mmekuwa wasindikizaji miaka yote,baada ya kuona hamna ubavu wa kubebwa kombe mnaanza kusema kombe mbwembe kweli Mr Bean amewafanya vibayaHata sisi tulimfunga City kwao na Arsenal sikumbuki hata mara ya mwisho mlitufunga liniMan City wameshafanya Old Traford kama uwanja wao wanyumbani!! Kumbuka last year it was 6-1 and now 2-1!!!RVP kaja man Utd akutane na wazee wenzake Gigz, Rio, Scholes kula Penshen yake...Raha ya mechi bao tu...ushindi unashangaliwa mara moja tu...hayo mambo ya kombe mbwembwe tu!!!
Wewe tulishakugonga na usubiri kugongwa tena,kitu cha msingi ukomae usije ukacheza UROPA league ukakosa hata kupata kochaMASHKINI NYIEEEE....Makombe mwishoni tunaangalia game by game..u were humiliated by US..the BLUES, then annihilated by MAchester City..Now, the Whole of England is BLUE...!!!
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Chifu Mentor unaongea vitu gani? Kama tukienda game by game bado mtakuwa losers tu. Man City tuliwapiga 3-2 kwao; wao wametufunga 2-1 OT. Sasa kwa aggregate score inakuwa ni 4-4, lakini United wanaibuka wababe kwa away goal. Tukija kwa Chelsea,tuliwapiga hapo darajani 3-2, na tarehe 4 ya Mei mnakuja OT, uwezekano wa kupigwa tena upo.Sasa hapo unavyosema the whole of England is blue [/B] unaelewa unachokizungumzia?!?
Wewe tulishakugonga na usubiri kugongwa tena,kitu cha msingi ukomae usije ukacheza UROPA league ukakosa hata kupata kocha
Chifu, upo ngazi ama unanusanusa maji machafu? Maana ni kama huelewi ninachokisema na unachokiandika.Anyway, ngoja nikueleweshe.Wewe ulianza kwa kukejeli kichwa cha uzi kwamba, siku Man United sio tena hatushikiki bali tunashikika sana.Mimi nikakwambia, pamoja na hilo ulilolisema, United ndiyo tunaenda kuwa mabingwa wa EPL kwa mara ya 20.Wewe ukaja na stori kwamba,ubingwa siyo ishu, kinachoangalia ni rekodi ya game to game (kumbuka chanzo ni matokeo ya juzi dhidi ya City). Na baadaye ukaja na kusema kwamba kwa rekodi hiyo, Chelsea na City waliifanya United vibaya na hivyo kupelekea Uingereza nzima kuwa bluu.Mimi nikakuuliza, kwani umesahau matokeo ya awali ya msimu huu? Nikianza na City, nikasema: City tuliwapiga kwao 3-2 kwa RvP kufunga bao ushindi kwa freekick katika dakika za mwisho mwisho. Hivyo tukienda kwa mtazamo wa game to game, United tunaibuka kidedea kwa goli la ugenini, kwao wao City walitufunga 2-1 pale OT. Sasa hapo ubluu unatokea wapi? Kumbuka na bado tunaongoza ligi kwa pointi 12 zaidi ya City!!Nikaenda kwenye upande wa Chelsea, nikasema: Chelsea tuliwafunga 3-2 pale darajani (tarehe 28 Oktoba 2012) katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi, na goli la Chicharito katika dakika ya 75. Na game ya mzunguko wa pili ndiyo inapigwa tarehe 4 ya Mei pale OT. Sasa huo ubluu unatokea wapi?Kwa maana ukija na mtazamo wa game to game, bado Chelsea na City kwa United ni nyanya msimu huu. Pia ukija na mtazamo wa historia, bado timu hizo ni nyanya kwa United.Ukija kwa mtazamo wa wingi wa mashabiki na wapenzi, timu hizo zinaendelea kuwa nyanya.Hata kwa mtazamo wa utajiri wa klabu, bado mnaendelea kuwa nyanya.Hata kwa rekodi katika EPL, UCL, FA, World Clubs etc. bado timu hizo ni nyanya kwa United.Vile vile hata kwa ubora wa timu katika Ulaya (United ni ya 4 baada ya Barcelona, Real Madrid na Bayern Munchen), bado timu hizo ni nyanya.Sasa huo ubluu katika Uingereza nzima unatokea wapi? Chifu, hizo timu zenu huwezi kuziweka daraja moja na United; hizo bado ni timu ndogo sana - wee clubs - katika kila kitu kwenye soka.Mlitufunga 3 -2 lini?After that tuliwafunga ngapi?then juzi tukawafunga ngapi?then man city wakawafunga ngapi?then hiyo 4 May ni future tense...ndo uelewe what i mean by THE WHOLE OF ENGLAND IS BLUE.Loser,......
Chifu, nakubaliana na uliyoyasema awali; ila shida yangu ni kwenye hitimisho. Kumbuka Chelsea na City tumewafunga kwenye games za raundi ya kwanza. Tena msimu huu katika raundi ya kwanza tulizifunga timu zote za "top four" (Liverpool, City, Arsenal na Chelsea). Unajua kwa nini, tulitumia mfumo wa 'diamond' (4-1-2-1-2); ambapo sehemu ya kiungo ilikuwa imara sana. Cleverly, Carrick, Ando na Shinji walitumiwa wote kwa mara moja. Ila ni ukweli kwamba United inahitaji namba 6 wa kiwango cha dunia. Huyu atakuwa msaada kwa Carrick, ambaye ametumika sana msimu huu. Ila kwa ujio wa Falcao, sijui kama United watanunua namba 6 wa kiwango cha dunia.Mwisho Man Utd lazima isajili kiungo wa kati ikitaka ushindani wa maana msimo ujao vinginevyo itapotezwa kama ilivyopotea dhidi ya Chelsea,Real Madrid na Man City.