Umetumia pesa kugombania top4Sasa kwahyo umekubali kuwa Man u imetumia pesa ndio maana imeimprove kuziba pengo la pointi 13.
Alafu ,Kazi ya pesa iliwekwa kwa ajili ya nini?? Si kutumika. Na kwanini timu isipoleta matokeo mazuri inaingia sokoni? Unafikiri Chelsea wenyewe walivyoingia sokoni si kwasababu ni wabovu uwanjani na hawajakamilika kiakili, ndio maana Lampard ametumia pesa kuleta wachezaji ili kusaidia VILAZA walioshindwa kuleta matokeo mazuri. Hiyo ndiyo kazi ya pesa .
Kwahyo Man u Ametumia pesa ndiyo maana kapunguza gap la point 13 kwa mechi 13.
Lampard ndo msimu wake wa kwanza kufundisha timu kubwa. Wakati Ole keshashusha adi timu daraja uko...
Lampard kajitahidi sana alafu kumbuka Chelsea haikufanya usajili wowote mwanzoni mwa msimu
Hata GURDIOLA angepewa Norwich Yaani ingeshuka daraja tu.Mafanikio pekee ya Ole kwenye soka mpaka sasa ni kushusha timu daraja.
Kwahyo ulitaka Timu itumie pesa kugombania FA??Umetumia pesa kugombania top4
Mbaya zaid top 4 mpk sasa kwako haieleweki mkuu
Mwalimu wako alipata kazi au huenda anapata kazi .Kwahyo ulitaka Timu itumie pesa kugombania FA??
Mkuu hujawahi ona mende akiangusha kabati? Wait uoneSheria ya UEFA bingwa wa Europa na UEFA wanaingia kwenye UEFA hata kama hawajakolifai kwenye ligi zao
EPL inaruhusiwa at maximum kupeleka timu tano kama mojawapo wa timu ni mshindi wa Europa au UEFA ambayo haukkolai kwenye ligi. Kwa maana io i ya top 4 na ikabeba UEFA (ndoto za alinacha) na Wolves akabeba Europa basi ni timu tatu tu zitaungana nao kwenye UEFA mwakani ambazo ni mshindi wa kwanza hadi wa tatu na mshindi wa nne anaenda Europa akiungana na mshindi wa tano, kama Arsenal akishinda FA anaenda Europa na hivyo mshindi wa sita hatashiriki Europa kwa sababu Europa ni timu tatu tu zinatakiwa.
Ila uwe na amani,helsea kushinda UEFA itakuwa ni Comeback yake kwa Bayern itakuwa maajabu ya milenia ya tatu na ubingwa wa UEFA kwa timu tuliyonayo itakuwa maajabu ya Karne ya 21
Correction "...... Kwa maana Chelsea ikiwa nje ya top 4 na ikabeba UEFA (ndoto za alinacha) na Wolves akabeba Europa basi ni timu tatu tu zitaungana nao kwenye UEFA mwakani ....."Mkuu hujawahi ona mende akiangusha kabati? Wait uone
Huyo sio mdhamini wa Leicester City msimu ujao.
Labda Danny IngsIvi wakuu hatuwezi mnunua Shane Long? tunawapa martial na pesa kidogo.
Tukimpata Long kombe hili hapa.