Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team imekuwa ya hovyo sana hii.

Yaani wachezaji hawana hata morali ya kutaka kushinda.
Sisi mashabiki ndio tunaonekana na presha na team yetu kuliko wachezaji.
 
Game la leo lilikuwa muhimu sana kuingia top four. Hii draw imetuweka pabaya. Sasa tunategemea matokeo mabaya kwa Chelsea mechi zote mbili au kutofungwa na Leicester kitu ambacho ni kigumu kwa hali tuliyo nayo kwa viwango vya wachezaji.

Kuna wachezaji hawapaswi kuwa first 11. AWB amecheza hovyo sana mechi za karibuni hapa.
 
Hao watoto mmeona walivyowagumu? Afadhali yenu mmelazimisha draw ila mlikua mlambe lolo.

Nafurahia sana matokeo haya yan mmesharidhika na Europa League.
 
Kwa leo draw ni sawa tungeshinda 2-0 au 1-0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…