Leo kidogo umeongea point SAF amechemsha sana kumchezesha GIGGS tena dakika 90,JUDA atakuja kukubaka pale ImiratiYaani leo Nzi, BJ, Belo Manda et al wamepotea kabisa au ndio wameanza kuwatosa mashoga? Hivi Giggs na uzee wote ule anataka kucheza na shillingi chooni? Mfarisayo rudi bana .. ...... ..... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyo Judas anawatoa ..... .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee Lete matokeo Mfarisayo ingawaje ni goli la mkono kubebwa kama kawa ... .... ....
Glory Utd
Man Utd ni timu ndogo tu siku hizi. Wakikutana na timu kubwa kama Madrid, Man City ni kipigo tu nyumbani kwao. Wakikutana na Chelsea away wanapigwa!
Sasa sijui kwanini huyu Robin Van P haisaidii hii timu wanapokutana na TIMU KUBWA
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Poleni sana majirani that is aguero bana.. wapi mfarisayo BelindaJacob Nzi mtotowamjini Mc Tilly Chizenga
Mancity ni timu kubwa kwenu Arse8, ndo maana wako juu yenu.Huyu RVP amekuja ManU kuchukua kombe na msaada alioutoa mpaka sasa ni mkubwa sanaMan Utd ni timu ndogo tu siku hizi. Wakikutana na timu kubwa kama Madrid, Man City ni kipigo tu nyumbani kwao. Wakikutana na Chelsea away wanapigwa!
Sasa sijui kwanini huyu Robin Van P haisaidii hii timu wanapokutana na TIMU KUBWA
Back to back defeat ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Manina zao Utd.
Man Utd ni timu ndogo tu siku hizi. Wakikutana na timu kubwa kama Madrid, Man City ni kipigo tu nyumbani kwao. Wakikutana na Chelsea away wanapigwa!
Sasa sijui kwanini huyu Robin Van P haisaidii hii timu wanapokutana na TIMU KUBWA
Unaonekana ni mgeni huku,hapa sio ukumbi wa matusiManina zao Utd.
Unaonekana ni mgeni huku,hapa sio ukumbi wa matusi
Vilevile husisahau kuja kutoa pongezi pale United itakapotwaa ubingwa wa 20, wewe na mwenzako Mbata
Manina zao Utd.
Heshima yako ndugu Nzi,
kiukweli nakubaliana kwa 100% na mchango wako hapo juu ila kuna kitu kimoja hujajua kuhusu mimi na naomba nikuweke wazi ili siku nyingine usijeshangaa kwa michango yangu mingine.
Ukweli ni kwamba mimi si mshabiki wa club yoyote ktk EPL, ninachokifanya ni kuangalia au kusikiliza mpira kwa sababu napenda mchezo wa mpira ila si mpenzi wa timu husika, yaani mpira kwangu ni burudani tu.
Kwa maelezo hayo ndo maana leo nimewapongeza city ila kweli niko tayari na nitawapongeza pia united kwa kubeba ndoo. Usijali sana ni hayo tu labda kama kuna mahala nimeongeza utata utaniuliza.