Kesho nataka nije hapa nisome Comments tu za Washabiki wa hii Timu halafu nizilinganishe na zile comments za tangu iliporejea Ligi baada ya Corona mpaka kufikia Jana.
Kuna Ndoroba mmoja humu huwa anasubiri VVD afanye kosa ndiyo anakuja kuharisha kwenye Uzi wa Liverpool, Sasa namsubiri hapa aharishe kwa Maguire na De Gea.