Wewe mwenyewe unavyojieleza unaonesha jinsi unavyopanick.-
Hizi ni rekodi ambazo ziko wazi tokea , Usajili wa dirisha dogo, na wewe ukiachana na ushabiki hizi takwimu zinafahamika na shabiki yoyote wa liver,man u na arsenal hata pia barca na real wote wanafahamu maana hata media zote duniani stori kubwa kwa sasa ni man u na kila mwisho wa weekend kama unafuatilia premier league analysis, kwenye review ya mechi zote za wiki huwa wanaorodhesha kama kuna rekodi yoyote imewekwa na mchezaji , kocha au club.
Alafu nilivyosema best front 3 ya 2019-2020 yenye mabao mengi uingereza ni ya Man u yenye mabao 60. Rashford 22, martial 22 na Greenwood 16 , na hata jana baada ya mechi ya Crystal -palace iliwekwa wazi. Sasa usitake kujifanya hujui wakati unajua kuwa Front 3 ya man u mwaka huu Uingereza ndio imekuwa best kwenye kutia nyavu ya magoli kuliko safu yoyote ya timu za epl.
Ila pia mimi nilichokuwa nalinganisha ni man u ya miaka 7 , ya sasa na ile ya Ferguson ili kuona namna jinsi man u ya sasa ilivyojiboresha. Alafu unasema nimekopi takwimu , kwani wewe unataka kuniambi-a kila anayeleta hapa takwimu si lazima akopi kwenye source zinazofanya hii kazi aidha ni ni premierleague.com, fa.com, uefa.com ,skysports na nyinginezo. Au wewe ulitaka nitoe wapi.
Alafu takwimu za Bruno zinafahamika, takwimu za man u pekee with 4 consecutive wins and 3 or more goals zinafahamika, takwimu makinda bora Epl, yaani Michael owen 18 goals ,Rooney 10 goals Alafu anayefata kwa sasa ni dogo Greenwood with 9 goals ziko wazi,,, Au wewe u-litaka ni-forge data.
Ila namalizia kwa kusema Acha kupanick bwana hiyo ndio Man u mpya itakayokuja. Alafu wewe kama ni shabiki wa arsenal pole maana Ukiachana na Aubamayang + pepe,,,-,, Kiukweli first eleven yeenu inatakiwa kusajiliwa upya.