Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahaha nipogo nafatilia kimya kimya!!! Top 4 ni lazima sweet shaka ondoa,kama kawaida zari litatudondokea naamini tutashinda,ukiona hadi mimi ninetokea hapa ujue tutashinda
!!!
Yeah inabidi tuwe optimistic.. angalau tuanze kuvaa jezi kwa confidence na kukaa vibanda umiza
 
Point tatu za muhimu sana hizi..saivi ni mwendo wa kwenda bampa tu bampa,atakaye zingua analiwa kichwa na anakuwa nje ya top four

✓Martial amekuwa classy..anapambana pia sana kuwa involved kwenye moves nyingi..Big Big Talent.."50m down the drain",press uchwara walisema hivyo tulivyomtoa Monaco

✓Bruno Fernandes kuna kitu ananiboa sana..Mimi naona huwa anataka kila pasi anayopiga iwe wooow..Why asicheze simple pass tu?..hii inapelekea anapoteza mipira kila saa,too sloppy,,mechi hii na ile ya Soton amecheza hovyo..Abadilike aisee

✓McTominay alishindwa kazi kwenye CDM..Replacement proper ya Matic inabidi itafutwe kuanzia sasa

✓AWB poor too

✓Training ya kesho inabidi iwe ya kona tu..haiwezekani kona zetu ziwe za hovyo kiasi kile

✓De Gea,Rashford na Martial wamecheza poa leo
 
Hahahahaha nipogo nafatilia kimya kimya!!! Top 4 ni lazima sweet shaka ondoa,kama kawaida zari litatudondokea naamini tutashinda,ukiona hadi mimi ninetokea hapa ujue tutashinda
!!!

Watu wabaya sana, walikuwa wanasema umebadilisha "uraia" sasa umekuwa mshabiki wa Liverpool

Kwa namna yoyote ile top 4 ni lazima
 
Timu iongeze juhudi kwenye penetration pass.

Almost zote leo zimekuwa blocked.

Martial na Rashford wapo vizuri wakitokea pembeni.
 
Ile mechi dhidi ya Southampton dah imetuharibia sana, ila Spurs against Leicester lazima Special One awe mzalendo
Usisahau Ckelsea nae atamfuata liver
Hapo lazima mmoja au wote watafungwa
Naamini Top 4 tunaingia kabla ya kukutana na Leicester

West Ham tumpige goli kuanzia 3 ili Leicester akifungwa mechi ya mwisho draw tu itatutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…