Greenwood majeruhi may be ataanza Juan Mata★Kwani leo D.James ataanza?★
Dogo tulia mpaka siku ya mwisho ndiyo uyaseme hayaKuna tetesi kutoka Anfield kwamba Klopp kaamua kuwa atawapa nafasi wachezaji ambao wamepata muda finyu kwenye mechi za ligi. Kama ni hivyo, tutegemee academy wengi kupewa nafasi siku hiyo na hii itakuwa ni blow kubwa sana kwenue kwani mkakati wenu sasa uwe ni kuwapiku LFC kwenye nafasi ya nne, au msipoangalia mtabakia hapo hapo na Greenwood, Bruno wenu
Wewe shabiki wa timu ipi?★Siku ya Southampton wazo lote lilikuwa kwa Bwana upara Redmond jamaa ananikeraga maana sio kukamia mechi huko★
Ipo hivyo mkuu Nyumbu hana chakeKuna tetesi kutoka Anfield kwamba Klopp kaamua kuwa atawapa nafasi wachezaji ambao wamepata muda finyu kwenye mechi za ligi. Kama ni hivyo, tutegemee academy wengi kupewa nafasi siku hiyo na hii itakuwa ni blow kubwa sana kwenue kwani mkakati wenu sasa uwe ni kuwapiku LFC kwenye nafasi ya nne, au msipoangalia mtabakia hapo hapo na Greenwood, Bruno wenu
Tunasikitika sana kwamba hatutakutana na huyo GreenTimber kwenye FA
Greenwood majeruhi may be ataanza Juan Mata
Wewe shabiki wa timu ipi?
★Acha tu mkuu yalonipata Mungu anajua Leo tunawasha mtu hatoamini★
Nilidhani ni CHELTAKO.★Manchester United mkuu★
Taahira peke yake ndiyo anaweza amini Man utd inafungwaDear Zaha,
Of crystal palace today l bestow upon you the power of CR7 , the skills of Messi , the scoring ability of Pele and even the bumbum of Hazard. l give to you the grace of Arsenal who destroyed the dream of 100 points last night.
Go forth and be successful in your pursuit to move away from relegation zone. I just love this guy not for anything but as a football loving fan.
Kila la kheri Crystal PalaceView attachment 1508829