Tunapaswa kuwa makini sana upande wa John Van Anholt,
Tumshibiti Andy Townsend na Wilfred Zaha.
True..niliangalia mechi yao ya juzi na Villa,huyu Van Anholt ndo aliyeonesha kidogo uhaiTunapaswa kuwa makini sana upande wa John Van Anholt,
Tumshibiti Andy Townsend na Wilfred Zaha.
Hakuna maajabu hapo..Wana injuries na suspension nzito sana..Hawa hata Mbwatukaji Mourinho atawacharaza viboko..Hata mechi yao ya leo naona wanaenda kupata tabuMkuu kwa Leicester huoni maajabu ya mpira
Possibly ataanza leo kwa sababu midfield zetu na defence hawana speed na Christian Benteke hayupo.★Huyu Townsend naonaga hana utofauti na Redmond wa Southampton yani wanasumbuaga kama timu ya Baba ao★
Huyu Van Anholt ni kwenye cross na long range Shots ni wa kuchunga sana uzuri atakuwa upande wa Wan Bissaka na Daniel James hivyo huenda asipande kuhofia Daniel James asipate upenyo wa kukimbia.True..niliangalia mechi yao ya juzi na Villa,huyu Van Anholt ndo aliyeonesha kidogo uhai
Possibly ataanza leo kwa sababu midfield zetu na defence hawana speed na Christian Benteke hayupo.
Huyu Van Anholt ni kwenye cross na long range Shots ni wa kuchunga sana uzuri atakuwa upande wa Wan Bissaka na Daniel James hivyo huenda asipande kuhofia Daniel James asipate upenyo wa kukimbia.
Dah, pole sana mkuu.★Duuh acha tuone leo ila sina shaka na Kikosi changu ila wakipigwa tena itaniuma kama majuzi nilikuwa na hasira nusra nilale nje nkakumbuka hawajui ninayoyapitia niache ujinganikazama ndani kulala huku namawazo kama Pango,Msosi na Gas vimeisha kwa wakati mmoja★
Dah, pole sana mkuu.
Hata mimi iliniuma sana.★Ahsante ujue niliona kma tumetolewa Fainali★
Na vipara vyao★Huyu Townsend naonaga hana utofauti na Redmond wa Southampton yani wanasumbuaga kama timu ya Baba ao★
Sijajua kama ni official, but jinsi tunavyowapa nafasi madogo wa academy.★Kuna mpya nimeipata sehemu
Manchester United have reached an agreement to sign 17 year old Real Madrid left back Alvaro Fernandez Carreras.★
manutd | View attachment 1508542
Sijajua kama ni official, but jinsi tunavyowapa nafasi madogo wa academy.
Inasaidia sana young talents waone Man united ni sehemu nzuri kwa maendeleo yao.
Na vipara vyao
★Duuh acha tuone leo ila sina shaka na Kikosi changu ila wakipigwa tena itaniuma kama majuzi nilikuwa na hasira nusra nilale nje nkakumbuka hawajui ninayoyapitia niache ujinganikazama ndani kulala huku namawazo kama Pango,Msosi na Gas vimeisha kwa wakati mmoja★
Mimi naweza kuwa Babu yako uwe na adabu kumuita kila mtu dogoDogo usitupangie sisi tunamaliza ligi nafasi ya tatu mtake msitake.
Wewe na Leceister mtagombania hiyo nafasi ya nne na tano.