Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumecheza kwa presha kubwa kpnd cha kwanza naamn 2nd half tutatulia n ushnd upo
 
We need talents. Sio wachezaji wanaouzwa kwa hypes za media za waingereza kama kina Lingard.
 
Vipi mkuu nirushie hata vocha ya 250
 
Tunavyosema tunahitaji world class Midfield mwingine na RW(SANCHO) tunamaanisha kwny situations kama hizi
Ambapo kikosi cha kwanza kikionekana kulegalega tunaingiza wachezaji ambao wanawasha moto..

Mf leo pogba hayupo kwny kiwango kizuri..so inapasa nje anakuwepo kiungo mwingine matata ambaye anaweza kuziba gap la pogba..

Narudia; ili kushinda mataji tunahitaji kikosi kipana na chenye QUALITY..we need more players

Hii game tunashinda tho..GGMU GGMU
 
Unauziwa beki wa kawaida kama Maguire kwa £80M. Unaambiwa Sancho anagharimu £130M.

Naamini ligi kama za Ureno, Ubelgiji, Serbia zina vipaji vizuri sana.

Uingereza yenye vipaji imeshapita enzi za kina Rooney. Wa sasa ni wa kuungaunga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…