Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hizo za mustafi & co zitakuwa ni computer generated statistical analysis mkuu.
 
teh teh
wewe bwana Gpili wapinzani wana hasira dhidi yako, hili vurugu ulilowafanyia ndani ya wiki hii wanatamani walipize lakini hawatofanikiwa kwa uwezo wa maulana
Hao takataka nawatabiria game zao alafu zawa kweli ..
 
Mwenyewe roho inadunda sana. Lakini tutashinda leo, ni lazima tushinde
sio lazima mkuu. kila timu ina probability ya 0.5 kushinda,kufungwa au kudroo.
na mida kama hii mababu wanaweza kutufungisha alafu mwishoni bado tukarudi number 3.

Mambo mengi ya hovyo yanaendelea duniani, corona imegoma kuondoka, Kim anatishia kulipua duania, HUAWEI wazungu wanataka kuifungia, issue ya Hussein Mwinyi imekuwa utata mtupu, Lissu nae analazimisha kurudi, yaani mambo ni mengi.

Man U ikifungwa itakiwa ni kwa ajiri ya ku cool the atmosphere.
 
Tension ya hii mechi kama fainali ya UEFA aisee..sikujua kama muda ukikaribia roho itakuwa juu kiasi hiki

Anyway..GGMU
mi sikua na hofu kabisa na hii mechi hasa kwa kuzingatia matokeo mazuri ya OT hivi karibuni na msimu huu kiujumla ,lakini nimeangalia mfumo wanaotumia wapinzani 4-4-2 nimejikuta napata hofu maana ni mfumo mgumu sana kupitika kama watakaba kiroho mbaya,rejea mechi ya UCL kule France tulimtoa PSG kwa mfumo huu waliambulia goli moja tu pale kwao.Ila naimani na timu yangu itapata matokeo leo "GGMU"
 
Best options
Donny von De Beek
Dominick Szoboszlai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…