Kusema ukweli bila mahaba kwa sasa tupo vizuri sana tokea mwanzoni mwa mwaka huu kuliko timu yoyote ile pale Uingereza. Kama tukipindua msimu ujao bila majeraha na hiki hiki kikosi cha kwanza kilichocheza mechi nne mfululizo tuna uwezo wa kubeba ubingwa bila hata kuongeza mtu. (fingers crossed, as long as no serious injuries)
Kama Pogba, Bruno, Greenwood, Martial na Rashford wakacheza pamoja kama sasa mechi zisizopungua 30 za ligi kuu, msimu ujao tunabeba ubingwa. Mara nyingi timu inayobeba makombe ikivuka mstari wa kati mtu yeyote yule anakufunga, wanakuwa na probability kubwa ya kupata goli dakika yoyote ile. Hiki tulikikosa kwa muda mrefu sana.
Bruno kabadilisha sana timu. Apart from being very creative pia ana kitu cha ziada anajua kutengeneza nafasi za magoli na kufunga pia. Binafsi nilikuwa namuona Pobga ndiye aliyekuwa na kipaji kikubwa pale kikosini lakini alikuwa anakosa support ya kipaji kingine cha ziada. Mf. msimu uliopita Pobga alikuwa top goalscorer kikosini alifunga goli 13 za ligi kuu na kutoa assists 9. Just imagine angeunganishwa na Bruno tokea msimu uliopita wangefanya makubwa sana.
Huwa nina imani kubwa sana na Pogba ndani ya uwanja. Japokuwa nje ya uwanja ana behavioral inconsistency labda ssb ya yule wakala wake mwenye tamaa ya pesa Mino Raiola. Niliamini muda mrefu sana Pogba alihitaji kuongezewa mtu mwenye kipaji sawa na yeye au kumzidi ili turudi ktk kiwango cha ushindani wa kweli.
Unaona kituko ulichoongea hakifurahishi? [emoji23] au wewe unaona umeongea a point?Acha tabia za kike,unacheka nini?

Sure, Pogba anatakiwa kujirekebisha pakubwa sana kwenye field professionalism, mimi ninaujasiri wa kusema kwamba MPAKA SASA, Greenwood anaweza kuwa ameishampita Pogba kwenye field professionalism.Bruno is a goal scorer, Bruno is a chance creator, Bruno is a defender, Bruno is a leader.
Bruno is everything!!Bruno is a goal scorer, Bruno is a chance creator, Bruno is a defender, Bruno is a leader.
Sure, Lakini tunahitaji mbadala wake. hatocheza kila mechi. I hope ni fred, kama sio tuingie sokoni.
Tusidanganyane, mashabiki wa United,Kusema ukweli bila mahaba kwa sasa tupo vizuri sana tokea mwanzoni mwa mwaka huu kuliko timu yoyote ile pale Uingereza. Kama tukipindua msimu ujao bila majeraha na hiki hiki kikosi cha kwanza kilichocheza mechi nne mfululizo tuna uwezo wa kubeba ubingwa bila hata kuongeza mtu. (fingers crossed, as long as no serious injuries)
Kama Pogba, Bruno, Greenwood, Martial na Rashford wakacheza pamoja kama sasa mechi zisizopungua 30 za ligi kuu, msimu ujao tunabeba ubingwa. Mara nyingi timu inayobeba makombe ikivuka mstari wa kati mtu yeyote yule anakufunga, wanakuwa na probability kubwa ya kupata goli dakika yoyote ile. Hiki tulikikosa kwa muda mrefu sana.
Bruno kabadilisha sana timu. Apart from being very creative pia ana kitu cha ziada anajua kutengeneza nafasi za magoli na kufunga pia. Binafsi nilikuwa namuona Pobga ndiye aliyekuwa na kipaji kikubwa pale kikosini lakini alikuwa anakosa support ya kipaji kingine cha ziada. Mf. msimu uliopita Pobga alikuwa top goalscorer kikosini alifunga goli 13 za ligi kuu na kutoa assists 9. Just imagine angeunganishwa na Bruno tokea msimu uliopita wangefanya makubwa sana.
Huwa nina imani kubwa sana na Pogba ndani ya uwanja. Japokuwa nje ya uwanja ana behavioral inconsistency labda ssb ya yule wakala wake mwenye tamaa ya pesa Mino Raiola. Niliamini muda mrefu sana Pogba alihitaji kuongezewa mtu mwenye kipaji sawa na yeye au kumzidi ili turudi ktk kiwango cha ushindani wa kweli.
Matusi unayajua ww?Mkuu matusi kama haya uwe unapeleka jukwaa la chelsea.
Kapigwa 3 mzukaThe London bridge is wrecking
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea tunawashukuru sana
Yupo graveyard anakula nyasiYule msukule Ollachuga akija mnistue.
Vipi Mourinho ameshatwaa ubingwa huko aliko?Tusidanganyane, mashabiki wa United,
Hatuwezi kubeba ubingwa kwa kikosi hiki.
Kwanza huwezi kucheza mechi 30, bila wachezaji wako kupata injuries. Sote tunamjua Martial, huwa anapata injuries.
Luke shaw, Pogba mwenyewe. Hawa ni key players.
Wakipata injuries Timu haitocheza kama inavyocheza sasa hivi.
Pili, kuna viwango kushuka. Kuna suspensions.
Tunahitaji kusajiri,kusajiri wachezaji( 1st eleven na backups za uwakika)
Binafsi sifikiri ubingwa msimu ujao(2020/2021), msimu wa 2021/2022 sawa.
Hakuna wanao humu mkuu heshimu jukwaaLeicester anapigwa leo aminini wanangu [emoji39][emoji39]
Man U ina mashabiki wengi sana.Mkuu sio kwa hayo tu wafanya biashara za mitandaoni, nk wanatumia Man Utd Session kuingiza kipato. Mkuu atakaye fungua youtube channel itakayokuwana video xza mau utd mechi zake za wakati wote ni fursa nzur sana. .
Niliingia bar bar moja washabiki wa man walipoona wafanyakazi wanashadadi aasrnal na tim zingone, sikuwaona tena. wasijue meci zinazoangaliwa sana na washabiki wote moja wapo ni man utd.
ni klabu kubwa sana duniani. Sijui kuhusu madridna baselona, lkn kibiashara pamoja na timu hizo man utd iko high sana.
Man U ina mashabiki wengi sana.
Yaani hata ukimuona masai ukimuuliza unashabikia timu gani?
Jibu ni MANCHESTER UNITED