Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mtzmweusi,
Nadhani Mason anatufuta machungu ya kumkosa halland


Mimi ni moja kati ya watu wachache ambaye niliupinga sana usajili wa Erling Haaland kujiunga nasi na hata tulipomkosa nilifurahi. Binafsi niliamini tusingeweza kuwa-accommodate wote wawili kwa wakati mmoja bila mmoja kuua kipaji chake.

Na haya ndiyo yaliyokuwa maoni yangu kabla hata hajajiunga na Borussia Dortmund:

Dec 17, 2019

Kuna jambo hapa kuna baadhi ya watu wananifurahisha sana, Erlin Haaland wanini wakati tuna Mason Greenwood? Tena kwangu mimi naona Erling anacheza mahala ambapo hana pressure na kapewa muda zaidi kuliko Mason. Kwangu mm kama ananunuliwa mshambuliaji basi anapaswa awe mzoefu kuja kumpa uzoefu mtu kama Mason calibre ya Harry Kane na sio kinda mwenzie tena ambaye anamzidi uwezo. Kama kuna kitu kitanifanya nilidharau bench letu la ufundi ni kumnunua huyu Erling. It's a total joke! And It will be very disrespectful kwa Mason.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…