Yah km upo kwenye mawazo yangu, nikiangalia magoli na style anayotumia kufunga Greenwood ni km halland japo tofauti yao ni kwamba mmoja anatumia mguu mmoja mwingine wa kushoto km kulia wa kulia km kushoto.
Tumewazoea wapinzani wa man U yn tm ikifanya vby mnaanza kuipa majina ya ajabu mara mwanitesa utd mara genge la wahuni n.k, lkn ikifanya vzr execuses kibao kwamba tm inabebwa, kwahyo huko nyuma wkt ligi inaanza hatukubebwa ili tuchukue ubingwa ndo tunakuja kubebwa leo tukiigombania nafasi ya 3 au 4? Nyie kubalini tu man ya ss ni moto wa gesi, we tm kati ina Fernandes, Pogba, Matic, af benchi wapo wengine wakali tu ambao kwenye tm zenu wanaanza km Fred, Mctomminay, Pereira n.k af unategemea nini hapo ndugu?