Basi upo tena na OllechugaView attachment 1491577
Manyumbu mwisho wenu umefika safari hii chelseafc hawatafanya makosa tena.Niliwataka sana hawa Arsenane,
Hawa Chelsix tulishawapapasa mara nyingi sana
Anyway ngoja waje, tuwapakate tena
Niliwataka sana hawa Arsenane,
Hawa Chelsix tulishawapapasa mara nyingi sana
Anyway ngoja waje, tuwapakate tena
Sawa boss tunakuja tarehe 18 au 19 July
Hapana hawa hawa Chelsea wanatosha tuwafungie msimu bila kombe wala kufika finali.Ni Wembley mkuu, tutakutana pale
Ila niliwataka sana Arsenal, sasa wakikutana na City zinaweza kufika 5 wakatolewa kwa aibu
Hapana hawa hawa Chelsea wanatosha tuwafungie msimu bila kombe wala kufika finali.
Anayekupiga round ya mwisho ni mshindi, jiandae kwa kipigo nyumbu wewee
Umepiga ngumi nyingi hazina maana hazijakusaidia chochote huna kombe la carabao, haupo top 4 EPL. Ushindi uchwara tuu.
Sawa. Tunawafunga then tunaenda kubeba kombe. Believe that
Hii statement yako imejaa hofu tupu, tarehe 18 siyo mbali mkuuAnayekupiga round ya mwisho ni mshindi, jiandae kwa kipigo nyumbu wewee
Next season Arsenal watakuwa wanapambana kuepuka relegation hivyo kujitutumua mbele ya timu kubwa hawawezi kuacha.Hawa Chelsix tumewashughulikia mpaka imekuwa kero sasa
Niliwataka Arsenal maana siku hizi eti wanajitutumua kwamba wanatumudu
Next season Arsenal watakuwa wanapambana kuepuka relegation hivyo kujitutumua mbele ya timu kubwa hawawezi kuacha.
Manyumbu FC Vs Chelsea FC mtajuta kuingia nusu fainali na mtanieleza vizuri zile nne mlinifunga vp kenge nyie
Top 4 ni suala la muda tu
Halafu usijisahaulishe, kupigwa ni kushushiwa heshima
Respect matter
Sasa wewe umepigwa mara 3 zote halafu hukomi
Kwa vyovyote vile midfield ya Pogba na Bruno imetupa stability tu ya kuwa na mpira ila bado haijatupa magoli.vyovyote itakavyokuwa kwenye midfield except double pivot
- scot +pogba +bruno
- fred +pogba +bruno
- matic+pogba+bruno
Tuwaangalie tena kwenye mechi hii ya leo mkuu kama wataanza wote..Kwa vyovyote vile midfield ya Pogba na Bruno imetupa stability tu ya kuwa na mpira ila bado haijatupa magoli.
Kwanini ?
Pogba anacheza deep sana anapoadvance Bruno analazimika kwenda pembeni hivyo anapunguza threats kwenye final third ya mpinzani.
Yawezekana na wenzangu mmeliona hili Bruno akiwa wide anakuwa hana madhara sana kama anapokuwa analitazama Lango.
Shida nyingine wanapocheza pamoja Bruno na Pogba wanatumia muda mwingi sana kuexpress uwezo wao badala ya kuwa objective uwanjani niliona kwenye mechi na Totenham na mechi yetu na Norwich city.
I would prefer Matic Fred na Bruno, au Matic Scot na Pogba.