Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukishinda game ya leo, tutapunguza gap la points dhidi ya Leicester city kutoka 9 mpaka 6
Sijaizungumzia chelsea bcoz sisi tunaitaji nafasi ya 3 ambayo kaikalia Leicester
 
Man Utd XI: De Gea, Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Shaw, Matic, Fernandes, Pogba, Martial, Rashford, Greenwood

Subs: Romero, Bailly, Mata, Pereira, Fred, James, Ighalo, McTominay, Williams

Sheff Utd XI: Moore, Baldock, Stevens, Basham, Jagielka, Robinson, Norwood, Fleck, Lundstram, Mousset, McGoldrick

Subs: Verrips, L.Freeman, McBurnie, Sharp, K.Freeman, Osborn, Rodwell, Zivkovic, Berge
 
Ndugu zangu msaada tafadhali niko kichakani natamani kuicheki hii gem, Yeyote mwenye link yakuweza kuiona hii gem atupie na mimi nijumuike kuicheki timu yetu.
 
Huyu Rashford afanyiwe sub fasta Ighalo aingie hizo chance zingekuwa kambani tayari angekuwa Ighalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…