Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Eti mwaka uliopita hehe hujui kwenye football tunahesabu msimu.Hebu kalale.Unaongelea mechi ya mwaka uliopita
Huoni hata aibu kujipitisha na kanga iliyolowa humu wakati ukishakojolowa vi 8, au unataka vingine
Acha kutikisa wowowo mbele ya wanaume wewe.Eti mwaka uliopita hehe hujui kwenye football tunahesabu msimu.Hebu kalale.
Mbona jana ulitikisa lako wakalipiga bao mojaAcha kutikisa wowowo mbele ya wanaume wewe.
Una kichaa wewe ....Mkuu mpira wa wapi unaongelea...Rashford yuko pembeni na ameingia mara nyingi zaidi yake kwenye boksi kupambania mpira, Greenwood kaingia dakika za mwisho kapambana zaidi ya hilo mbulula..Halijui kuji-position pumbaf kabisa.
Eti mwaka uliopita hehe hujui kwenye football tunahesabu msimu.Hebu kalale.
Umenikojolea lini msimu huu wakati nimekupiga mitungo tuKwani msimu wa 8 sio msimu?
Kwani msimu huu sijakukojolea
We Arsenane vipi aisee
Umenikojolea lini msimu huu wakati nimekupiga mitungo tu
Romero aanze kazi de gea akae benchi kidogo✓Pogba ni most talented player we have..Hands down
✓Rashford na Martial walikuwa rusty today..Tunahitaji striker wazee
✓Pogba na Bruno wameonyesha wanaweza kucheza pamoja..Kazi sasa kwa Ole kukamilisha hicho kiungo
✓James is useless..Greenwood ni lethal kushinda yeye..Tuanze kumwanzisha Mason
✓The form of David de Gea is dropping,and it's really worry me
✓Maguire ile blunder hakupaswa kuifanya..yeye ni kiongozi inabidi awe mfano na sio kucheza kama David Luiz
✓Spurs walikuwa hovyo tu na sisi pia tulikuwa rusty..3 month without football match may be a reason
Next Shiefield United
GGMU
Wakati huo wewe ulikuwa ukipigwa mtungoMbona jana ulitikisa lako wakalipiga bao moja
Sivikumbuki hata hivyo vikombe kumbe vimechezwa msimu huuFA/Carling ulikojolewa na nani
Au kisa umepata bwana mwingine anaitwa Manchester ila ni City
Sasa si kila mtu na mbabe wake,Wewe Mumeo nipo hapa.Wakati huo wewe ulikuwa ukipigwa mtungo
Sivikumbuki hata hivyo vikombe kumbe vimechezwa msimu huu
Alikuja OT tukamchakaza na hao kina Delle Ali..Mourinho akili nyingi sana, alisema Man Utd ni hatari sana kwenye counter attack, hivyo aliwaachia wamiliki mpira hivyo wajenge mashambulizi kuanzia nyuma. Kwa hili alijua atawamudu vizuri na alifanikiwa. Aliwakosa Moura na Dele Alli, wangekuwepo pengine hali ingekuwa tofauti.
Sasa si kila mtu na mbabe wake,Wewe Mumeo nipo hapa.
Imebaki storeee...Mi najua nimechukua pointi nne kutoka nyumba ndogo fulani.Mumeo amekugonga 8 bado humuheshimu, kisa umepata bwana mwingine anayeitwa Manchester lakini City
Kiluvya fcRashford jana amecheza kama mchezaji wa Kiluvya FC..acha Mahaba..Alikuwa below average
Unaposema rashford wa sasa, inamaanisha kuanzia lini?Ni kweli Rashfod makali yake yamepungua. Rashfod wa zamani alikuwa mbinifu, kasi , mkakamavu, finisher mzuri. Rashfod wa sasa anastruggle
Sent using Fly in any Weather.
Aitoe kuipeleka wapi? Kumbukumbu za Ole kwenye soka ni kushusha timu daraja.Nawakumbusha Mourinho ni kocha mpuuzi na hana uwezo wa kuitoa timu ya Tottenham hapo ilipo.
Wale wafuasi wa MoU karibuni
Acha hizo, alikuwa hana key players wote , angekuwa na kikosi kamili jana msingechoropoka.Alikuja OT tukamchakaza na hao kina Delle Ali..