mkuu pogba anapenda kucheza middle ya kushoto hapo anakuwa free zaidi....nafikiri hata leo atacheza hapo bruno atasogea mbele sababu anaquality nzuri kwenye kushambulia kuliko ukabaji japo anajitahidi ila sio kama pogbaKwann pogba asiende mbele bruno arudi
Pogba ataanzia benchiLeo nafikiri tunaweza cheza 4-3-1-2 langoni ni De gea
AWB maguire lindelof shaw
Scot matic pogba
Bruno
Martial,rashford
Ila na-prefer Fred dhidi ya ScottLeo nafikiri tunaweza cheza 4-3-1-2 langoni ni De gea
AWB maguire lindelof shaw
Scot matic pogba
Bruno
Martial,rashford
Pogba lina uwezo mkubw wa kusambaza mipiraKwann pogba asiende mbele bruno arudi
Ila kucheza bila winga ya kulia, AWB atachoka sanaLeo nafikiri tunaweza cheza 4-3-1-2 langoni ni De gea
AWB maguire lindelof shaw
Scot matic pogba
Bruno
Martial,rashford
Solkjaer hawezi kumuacha Daniel James nje wakati anaenda kushambulia kwa Counter attack.Ila kucheza bila winga ya kulia, AWB atachoka sana
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
hahahaha fred yupo vizuri mkuu ngoja tuone itakuwaje
Sio mbaya pia ausome mchezoPogba ataanzia benchi
Linawezekana pia hili..na tutakuwa solid sana hapo nyuma
Aaha mkuu, Mourinho mpaki mabasi unamwekea beki tano.De Gea
LINDELOF MAGUIRE SHAW
AWB FRED MATIC WILLIAMS
BRUNO
RASHFORD MARTIAL
Tuliza matackle kibanda umiza uone tunavomchakaza huyo Tottenyie ngedere manyumbu mpigwe mchakae