Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The Day Is Here..Natamani nione kitu kama hiki baadae(10:15 PM)

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fernandez Fred Pogba

James Martial Rashford
Dah i wish pogba acheze huko mbele zaidi hata namba 10. Martial na rashford wawe wanapkezana.

Kati kati lazima scot awepo kuuongeza ugumu.
 
The Day Is Here..Natamani nione kitu kama hiki baadae(10:15 PM)

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fernandez Fred Pogba

James Martial Rashford
Hiki kikosi nafikiri ni kizuri kwenye kushambulia ila tukishambuliwa tutakua weak, mtazamo wangu tu

Kama Pogba na Bruno wataanza 1st eleven nafikiri Fred na Matic pia waanze, hapo kwa James weka Matic au Scot then badae substitution zitafanyika kulingana na uelekeo wa game
 
Dah i wish pogba acheze huko mbele zaidi hata namba 10. Martial na rashford wawe wanapkezana.

Kati kati lazima scot awepo kuuongeza ugumu.
Linawezekana pia hili..na tutakuwa solid sana hapo nyuma
 
Glory Glory Manchester United

Tupeni raha, baada ya likizo ndefu ya Corona.

Viva United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…