Itakuwa poa sana japo lazima hao defence midfielders mmoja wapo atakuwa sacrificed. Nina wasi wasi Tominay au Matic lazima akae benchiTuvumilie..two weeks tuanze kuona kama Bruno naPogba wataiva chungu kimoja
Itakuwa poa sana japo lazima hao defence midfielders mmoja wapo atakuwa sacrificed. Nina wasi wasi Tominay au Matic lazima akae benchi
Sidhani kama itawezekana kuwatumia midfielders watano kwenye mechi moja.Je akicheza mfumo wa 4 - 1 - 2 - 1 - 2 ( 4 4 2 ) matic anacheza mbele ya defence, afu pogba anacheza kushoto kwenye mid, Fred / Tominay upande wa kulia wa mid, Bruno , na foward wawili haiwezekani ?
Mpunga bado utatutoka tu..maana Sancho ni 100+ wakati huyu Sanchez hata timu ya kufika 20 kwa ulaya sidhani kama ipoHuyu Sanchez anatutia njaa tu, sidhani Borussia watakubali kumpokea Sanchez halafu wakatuachia Sancho. It is unlikely
Huu ni mtihani mwingine kwa Ole..Anatakiwa acheze smart sana hapaSidhani kama itawezekana kuwatumia midfielders watano kwenye mechi moja.
Anaweza akacheza 4 4 2 lakini lazima Daniel James awe sacrificed ikiwa Rashford atakuwa fit.
Hata akitaka kuwatumia 4 midfielders atalazimika kumsacrifice Daniel James na Defence midfielder mmoja.
Unless acheze kama Mourinho kwa kupaki basi hapo inawezekana kuwatumia nje na hapo two DM watakuwa benched.
Siyo mtihani ni jambo la kawaida katika soka huwezi kutumia silaha zako zote at once hata Diego Simione anaweza kuaccomodate 3 midfielders huku nje anaacha midfielders watatuHuu ni mtihani mwingine kwa Ole..Anatakiwa acheze smart sana hapa
Hapa sasa ndo ujenz wa timu unaanza ukiangalia sehem ya kiungo unapata picha na ktk big games kiungo chetu kimefanya vizur sana tena sana angalau naona kuna mwanga hapo bado ushambuliz na mchezaj sampul ya sancho au neymar.
Kabisa yaani tumekaa vizuriHapa sasa ndo ujenz wa timu unaanza ukiangalia sehem ya kiungo unapata picha na ktk big games kiungo chetu kimefanya vizur sana tena sana angalau naona kuna mwanga hapo bado ushambuliz na mchezaj sampul ya sancho au neymar.
Gemu yetu vs Spurs Mourinho alikubali kazi ya Fred na Tominay..Hapa sasa ndo ujenz wa timu unaanza ukiangalia sehem ya kiungo unapata picha na ktk big games kiungo chetu kimefanya vizur sana tena sana angalau naona kuna mwanga hapo bado ushambuliz na mchezaj sampul ya sancho au neymar.
Kabisa mkuu kwa sasa kiungo kipo sawa bado mtu mmoja tu wakufungua njia kwa timu zinazozuia sana kama wolves vile tukimpata huyo muendelezo wake utakuwa mzur sanaGemu yetu vs Spurs Mourinho alikubali kazi ya Fred na Tominay..
Man City naye tulimvuruga asubuhi kweupe gemu ya 2-0 OT..
Kimsingi kiungo tupo biyeeeee kama ulivyosema