Manchester United (Red Devils) | Special Thread

KWA NAMNA MSIMU ULIPOFIKIA
Ww kama mshabiki wa Manchester United ebu pendekeza wachezaji wa tatu wa kuwaondoa katika kikosi
Na pendekeza wachezaji wawili wa kuwaongeza(kusajiliwa) katika kikosi
Toa na sababu ya kumuondoa mchezaji huyo na kumsajili mchezaji huyo

Mm binafsi wakuwaondoa Jesse lingard ,Alex sanchez, na Paul pogba....lingard na Alex haina haja ya kuwaelezea maana wanakiwango kibovu sana

Ila Paul pogba ni mchezaj mzuri kiungo bora bila ubishi na amedhihirisha hilo kwa kipindi chote ndan ya Manchester lakn anaonekana kama hana mapenz na timu maana alidirik wazi kusema anataka kuondoka hvy sion sababu ya kulazimisha yy kuendelea kubaki katika viunga vya jiji la Manchester

Wachezaji wa kuwasajili Jack Grealish, Ivan Rakitic(kama mrithi wa pogba kwa muda) na Jordan Sancho(japo sio muhimu sana kutokana na gharama yak)


Nini mtazamo wako ndan ya Manchester United?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lindelof out Mohamed Salisu in

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atoke pogba na lingard aje T. Werner na sancho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…