Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Neymar kwa sasa ni mzuri ktk uuza jersey labda.
 
Attacking force kwa nini msimchukue kane? Perfect!
 
Nampenda McTominay lakini kuna muda huwa analala au kuzubaa..Kiungo cha Matic+Fred kilikuwa kimeshakubali na sio mbaya kama McSauce angekuwa anaanzia benchi..Lazima tuwe na squad depth ya kueleweka
 
Hivi New Castle wameibukia wapi mana naona habari zao za kutisha. Ni kama msimu ujao tutarajie new castle Wa kusumbuana kwenye top 4 hivi! Wamepata ma don Wa kutisha nini? Mana nilipita kwenye social network flani nikakuta kuna washabiki wao wanasema ikiwezekana msimu ujao wamchukue harry Kane ili akatafute kuvunja rekodi ya Alan Shearer, nikapigwa na butwaa!
 
Kuna waarabu wale waliohusishwa kuinunua utd wameinunua Newcastle paundi mill 600 kutoka kwa mmiliki ashley

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui tu nilivyokutaftia chakukujibu lakini nimeona kitakuelemea
Napenda kukukumbusha kuwa Ukitaka kuja humU MANCHESTER UNITED FANS THREAD uwe kama Mtu Mwenye akili Timamu kutuletea mawazo kama Jitu lilikufa Likafufuka ndo linatoa wazo Uache basi
.
Nilikuwa nakuzuga tu team yenu siipendi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…