Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Douglas Costa ni winger wa kushoto na hana madhara sana kama Jafon Sancho.

Heri utupe pesa zako kumnunua Julian Draxler au Grealish kuliko Douglas Costa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu naheshimu mawazo yako.
Ila binafsi naamini Douglas Costa ni mchezaji bora na mwenye madhara kuliko Jack na Maddison ambao mimi nawaona ni Overrated (kama unavyowajua waingereza kwa kupaisha vya kwao) ambao tunahusishwa nao.
Douglas Costa ni Underrated ambae anapotezwa na kitu kinachoitwa BAHATI.
Ni mtazamo tu GGMU
 
Takwimu zake zikoje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan Jack Grealish pale Astonvilla uwa anachezeshwa namba gani/zipi anazomudu vyema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Douglas Costa ni winger wa kushoto na hana madhara sana kama Jafon Sancho.

Heri utupe pesa zako kumnunua Julian Draxler au Grealish kuliko Douglas Costa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa nini mimi huwa namkubali sana neymar nahisi huyu ndio suluhisho nafikir ndio wachezaj ambao hii timu inatakiwa kuwazia yaani tunawqzia wakina Greirish na Douglas costa ambae hata juventus wazee wa vya bura anakaa bench? Hii timu itakuwa academy sasa maana vitoto vingi mno hatukatai kuwa na vitoto ila vinazidi sana hata sir alex alipokuwa na class of 92 kuna magiant yalikuwepo ya kutosha tu wakina scholes hawakupata shida fikiria hii timu ina matic na maguire tu watu wazima vingine vi toto tu ukiacha de gea tumeona utofaut wa ighalo alipokuja kuna kitu kaongeza tunatakiwa kupata wachezaj waliokomaa kwa sasa miaka 7 ya bila kombe kila siku project za vitoto tu ni hilo wazo langu mkuu
 
Sancho ni mtoto kiumri ila takwimu zake ndo zinaongea..

Kuna wachezaji wakiwa na umri mdogo tu walikuwa tayari washawasha moto..mfano Rooney..Umri sio tatizo,ishu ni talent na maturity
 
Sancho ni mtoto kiumri ila takwimu zake ndo zinaongea..

Kuna wachezaji wakiwa na umri mdogo tu walikuwa tayari washawasha moto..mfano Rooney..Umri sio tatizo,ishu ni talent na maturity
kwa sancho sina shida ila kwa wakina douglas costa na jack Grealish hamna watu mule tumefanya usajili wa wachezaj wawili tu wenye uzoefu wa kutosha wa bruno na ighalo wote tumeona timu ilivyopaa nafikir tunahutaj zaidi wachezaj waliokamilika hata wakina greenwood wanapata kujifunza na kutamani kariba za wakina neymar hizo ndo level za hii timu hawa wakina james maddison huu moto wao kama wa wakina walcot walivyokuwa wakitoka kifupi timu iangalie wachezaj wazoefu kwa sasa kama vile manchester city walivyokuwa wakifanya huko wakina yaya toure sergio aguero fernandhinho hata wachezaj wachanga wanacheza bila presha
 
Una Point mkuu
 
Ningekuelewa ungesema tumsajili Kylian Mabappe lakini Neymar ni kuongeza mtu mzima anayeishi katika utoto wake.

Mimi ukiniambia ukiniambia kumchagua Nyemar na Deloufe nitamchagua Deloufe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Point mkuu
mkuu daniel james mchezaj mzur sana tena sana dogo anacheza kwa presha katupa kitu muhimu sana hatuna wale wachezaj wakomavu wa kumpunzisha fikiria anatokw james anaingia lingard au pereira so tuangalie wakomavu hizi mech ambazo pereira na mwenzie lingard walikuwa nje timu imecheza vizur sana

Ukija eneo la kiungo matic mzoef kacheza vizur sana fred had goli za kufungwa zimekuwa chache mech 14 za matic hatujaruhusu goli scott mchezaj mzur sana ila tunaruhusu sana goli napenda sana wachezaj wazoef ukiangalia kiungo cha liverpool wote wazoefu wakina Georginio Wijnaldum na genge lake wabish sana
Kiungo cha matic na fred tayar kimeanza kukaa sasa hata kocha kaona hilo scott anaanzia bench mech ya everton dogo alianza angalia tulivyohangaika mech ya city alinzia bench kiungo kilikuwa poa sana ni hayo tu
 
Ningekuelewa ungesema tumsajili Kylian Mabappe lakini Neymar ni kuongeza mtu mzima anayeishi katika utoto wake.

Mimi ukiniambia ukiniambia kumchagua Nyemar na Deloufe nitamchagua Deloufe.

Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi siamini sana ktk mbape angalia takwimu za neymar na ule utoto wake kisha uje unieleweshe vizur mkuu
Utoto wa naymar ni timu anayochezea psg zile mambo hawez kuleta barcelona,madrid,manchster united au liverpool maana hizo timu kuna watu wamepita zaidi yake na wamechukua uchezaj bora kapita barcelona kawah leta utoto?
 

Mkuu umeandika point sana kuhusu kuongeza mature players kwenye kikosi japo wawepo wawepo ila sikubaliani kabisa na wewe kuhusu neymar.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grealish, James Madisson, Jadon Sancho hawa siyo wachezaji wachanga uwanjani hata kidogo.

Tofauti yao ni kwenye conversion rate tu Sancho ni lethal kuliko wote but Madisson ni lethal kuliko Grealish.

Advantage wanayokupa Grealish na Madisson ni versatile kuliko Sancho unaweza kuwatumia katika mifumo minne tofauti uwanjani watakupa unachokitaka.

But kwa sababu hitaji letu ni Natural winger Sancho ni ideal zaidi.

Neymar ni left wing ambao tunao wengi tu hapo wanaweza kufanya hiyo kazi.

By the way signing fee ya Neymar inaweza kumnunua Jadon Snacho, Grealish, Madisson na Raul Jimenez na chenji ikabaki huoni kuwa haya ni matumizi mabaya ya pesa kwa calibre ya mchezaji husika ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar mimi siafiki kabisa mpaka sasa PSG iko kwenye mabega ya Mbappe na siyo Neymar tena.

Halafu Neymar ni left wing nafasi ambayo tayari na Marcus Rashford anayeweza kutupa kila tunachokitaka upande wa kushoto.

Kama ni kitu tunatakiwa kuwa makini katika signing za attacking force yetu.

Tusije kutumia pesa bila kuzingatia mahitaji ya timu yetu sidhani kama Man united inamhitaji Neymar katika uhitaji wa timu na kibiashara.

Timu yetu inahitaji watu ndiyo lakini siyo wa calibre ya Neymar.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…