permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,429
- 15,217
Permanides na Mkwawe walihama na Mourinho, hivyo tegemea utetezi wa hali juu sana juu ya mafanikio ya Mourinho ambayo siyo siri ni makubwa sana katika soka.
Nafikiri kwa makocha wanaofundisha soka mpaka sasa Mourinho ndiyo mwalimu mwenye makombe mengi sana na mwenye record ya pekee sana katika club aliyofundisha.
Kibaya ni kwamba mbinu zake siyo relevant tena katika soka la hisabati kali kama sasa analazimika kuwa mkorofi badala ya kuwa mbunifu.
Tumpe Pole nyingi sana kwa kupitwa na wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu! Jamaa habadilikiPermanides na Mkwawe walihama na Mourinho, hivyo tegemea utetezi wa hali juu sana juu ya mafanikio ya Mourinho ambayo siyo siri ni makubwa sana katika soka.
Nafikiri kwa makocha wanaofundisha soka mpaka sasa Mourinho ndiyo mwalimu mwenye makombe mengi sana na mwenye record ya pekee sana katika club aliyofundisha.
Kibaya ni kwamba mbinu zake siyo relevant tena katika soka la hisabati kali kama sasa analazimika kuwa mkorofi badala ya kuwa mbunifu.
Tumpe Pole nyingi sana kwa kupitwa na wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuandika pumba weweHahaha Mou hamna kocha mle mkuu , tapeli Lile si unaona anachofanya Tottenham
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata ligi ingeendelea bado uefa musingecheza.Hivi ikitokea ligi ikafutwa,possibly watapandisha timu ila pendine hawatashusha timu na bingwa kumkabidhi kombe. Je kwenye timu za top four zitazopaswa kucheza UCL next season itakuwaje? Mana hapo wakisema waache kama msimamo ulivyo haitakuwa haki hasa kwetu ambao tunakabana na Chelsea pale nginja nginja. Au watafanyaje? Kuna mdau yeyote anayejua way forward ya hii?
Liverpool na machester city wangekulamba tena za kutosha hizo ni point 6 pengine manchester united asingecheza basi wangecheza wolves na shefield united hii ina maana nae chelsea asingecheza
Hapo kwenye top 4 ndipo panafanye ligi isifutwe point za chelsea zinafikiwa na timu zote 4 kule kwenye kushuka daraja bado zile point utata had timu ya 14 mabadiliko yanaweza kutokea bila hivyo kombe angepewa liverpoolHivi ikitokea ligi ikafutwa,possibly watapandisha timu ila pendine hawatashusha timu na bingwa kumkabidhi kombe. Je kwenye timu za top four zitazopaswa kucheza UCL next season itakuwaje? Mana hapo wakisema waache kama msimamo ulivyo haitakuwa haki hasa kwetu ambao tunakabana na Chelsea pale nginja nginja. Au watafanyaje? Kuna mdau yeyote anayejua way forward ya hii?
PointKuanzia 2008-2011 utd alikuwa juu ya madrid na ndicho kipindi ambacho ronaldo anakomalia kwenda madrid
Na kwenye habari ya makombe tangu 2002 hadi 2009 man utd alikuwa amebeba mara moja na mshindi wa pili mara 2 wakati madrid alikuwa amebeba mara moja tu na hakucheza fainali yeyote hadi 2014.
Kimsingi Ronaldo aliyetengenezwa na man utd ya fergie ndiye alienda kufufua uhai wa madrid kwenye champions league.
Tulimuuzia adui silaha.
Ligi ingeendelea tungeenda kucheza Uefa vizuri tu naamini..Liverpool na machester city wangekulamba tena za kutosha hizo ni point 6 pengine manchester united asingecheza basi wangecheza wolves na shefield united hii ina maana nae chelsea asingecheza
Kwa timu ilivyoanza kujipanga vizur dakika za mwisho aisee tulikuwa vizur sana mpira tuliocheza game ya manchester city bado naukumbukaLigi ingeendelea tungeenda kucheza Uefa vizuri tu naamini..
Yani sasa hivi hata kununua bando naona haina maana kabisa michongo yote ya kupiga pesa tuliozoea kila wikendi hakuna.Kwa vyovyote vile maamuzi yoyote yakufuta ligi yatakuwa na impact kubwa sana kwa timu zote.
Mathalani itakuwa very unfair kumnyima Liverpool ubingwa kwa stage aliyofikia.
Lakini itakuwa very unfair kwa timu za chini ambazo hata ile ta mwisho kabisa inaweza kujiokoa kushuka daraja kwa mechi zilizobaki.
Msimamo kwa timu za nafasi ya 5,67,8 napo zote hizo zinaweza kuingia top four hata top 3 ukifuta ligi na kutoa wawakilishi wa UEFA na EUROPA bado haimake sense.
Tuendelee kuomba hili janga liishe mapema ligi zirejee tu kwanza limetuharibia mishe mingi sana ya maana hapa town.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii corona imeua michongo mingi sana mjini hapa.Yani sasa hivi hata kununua bando naona haina maana kabisa michongo yote ya kupiga pesa tuliozoea kila wikendi hakuna.
Ikitokea rate ikawa juu kama italia,Waafrika tutatengwa na dunia.Hii corona imeua michongo mingi sana mjini hapa.
Hope by the end of April itakuwa imepungua sana maana nchi zilizopigwa sana rate ya vifo na new cases imekuwa ikishuka kwa kasi kidogo.
Tuombe lisichanganye sana huku Africa tutakuwa kwenye danger kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hali Africa haitafikia japokuwa leo baadhi ya nchi zimerecord cases nyingi kidogo.Ikitokea rate ikawa juu kama italia,Waafrika tutatengwa na dunia.
Mungu azidi kutusimamia tu
Wachezaji aina ya Lautaro Martinez Man united tunao watatu kwanini tumhitaji Lautaro ?Hivi katika washambuliaji tunaohusishwa nao mbona sioni jina la Lataro Martinez likitajwa kwamba siyo mzuri ama?
nadhani ishu ya usajili wa striker itategemea zaidi na jinsi Ole gunnar anavyomchukulia anthony martial 9 na kiwango chake cha utoaji wa huduma msimu huu (ikiwa bado anamuona ni mtu sahihi wa kuendelea kuwa chaguo la kwanza au kinyume chake).Wachezaji aina ya Lautaro Martinez Man united tunao watatu kwanini tumhitaji Lautaro ?
Man united sasa inamhitaji central striker caliber ya Harry Kane, Timo Werner, Lewandowski, Edison Cavan au Mauro Icard.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sounds interesting...nadhani ishu ya usajili wa striker itategemea zaidi na jinsi Ole gunnar anavyomchukulia anthony martial 9 na kiwango chake cha utoaji wa huduma msimu huu (ikiwa bado anamuona ni mtu sahihi wa kuendelea kuwa chaguo la kwanza au kinyume chake).
halafu pia kuna ishu ya usajili wa kiungo pembeni ambapo kuna uwezekano mkubwa wa kujiingiza moja kwa moja kwenye harakati za kumsajili jadon sancho (hapa pia itategemea na muelekeo wa usajili wenyewe, either kufikia gharama za usajili wake au kinyume chake), ina maana kutatokezea taathira ya gharama za usajili..
ikiwa Ole atahitaji mshambuliaji atakayeweza kumletea ushindani mkubwa anthony martial tutalazimika kutumia gharama kubwa kwa dhumuni la kumtafuta mshambuliaji mwenye ubora zaidi ya martial na wenzake (hapa utakutana na washambuliaji mfano wa harry kane,haaland, moussa dembele)
ikiwa ole bado anamuona anthony martial ni mshambuliaji sahihi kwa mtazamo wangu naamini ni bora tumsajili Odsonne Edouard kutoka Celtic au Calvert lewin kutoka everton, bado ni vijana wadogo sana, takwimu zao za ufungaji msimu zinaridhisha.
raul jimenez ni mshambuliaji hodari kitakwimu, mpambanaji, ana uzoefu mkubwa wa premier league lakini tatizo litakuwa ni gharama zake za usajili zitakuwa ni kubwa halafu umri wake pia itakuwa ni kikwazo (ana miaka 29).
Timo werner sidhani kama tuna nguvu ya kiushawishi itakayoweza kumshinikiza asajili manchester united badala ya bayern munich, liverpool na borussia dortmund.
ubaya wa hizi team kubwa muda wote mchezaji aliyesajiliwa anajikuta kwenye hali ya presha kupanda
View attachment 1420003
Kimsingi usajili wa striker kwetu unategemea sana na Ole anawarate vipi strikers wake.nadhani ishu ya usajili wa striker itategemea zaidi na jinsi Ole gunnar anavyomchukulia anthony martial 9 na kiwango chake cha utoaji wa huduma msimu huu (ikiwa bado anamuona ni mtu sahihi wa kuendelea kuwa chaguo la kwanza au kinyume chake).
halafu pia kuna ishu ya usajili wa kiungo pembeni ambapo kuna uwezekano mkubwa wa kujiingiza moja kwa moja kwenye harakati za kumsajili jadon sancho (hapa pia itategemea na muelekeo wa usajili wenyewe, either kufikia gharama za usajili wake au kinyume chake), ina maana kutatokezea taathira ya gharama za usajili..
ikiwa Ole atahitaji mshambuliaji atakayeweza kumletea ushindani mkubwa anthony martial tutalazimika kutumia gharama kubwa kwa dhumuni la kumtafuta mshambuliaji mwenye ubora zaidi ya martial na wenzake (hapa utakutana na washambuliaji mfano wa harry kane,haaland, moussa dembele)
ikiwa ole bado anamuona anthony martial ni mshambuliaji sahihi kwa mtazamo wangu naamini ni bora tumsajili Odsonne Edouard kutoka Celtic au Calvert lewin kutoka everton, bado ni vijana wadogo sana, takwimu zao za ufungaji msimu zinaridhisha.
raul jimenez ni mshambuliaji hodari kitakwimu, mpambanaji, ana uzoefu mkubwa wa premier league lakini tatizo litakuwa ni gharama zake za usajili zitakuwa ni kubwa halafu umri wake pia itakuwa ni kikwazo (ana miaka 29).
Timo werner sidhani kama tuna nguvu ya kiushawishi itakayoweza kumshinikiza asajili manchester united badala ya bayern munich, liverpool na borussia dortmund.
ubaya wa hizi team kubwa muda wote mchezaji aliyesajiliwa anajikuta kwenye hali ya presha kupanda
View attachment 1420003
Douglas Costa ni winger wa kushoto na hana madhara sana kama Jafon Sancho.Jamani naomba kuuliza hivi Douglas costa na Jadon Sancho hawachezi namba moja?
Kama wanacheza namba moja hawa Viongozi wetu watakuwa na matatizo sababu binafsi naona Douglas Costa ni mchezaji mzuri na uwezekano wa kumpata ni rahisi kuliko Jadon Sancho.
GGMU