Wakati CR7 anashangilia kutufunga, usisahau kuwa kocha wetu alikuwa Mourinho.Basi mimi ninachoamini ni kwamba CR alikitenganisha hiki kitu Man U na mtu Sir Alex Ferguson! Na inawezekana kabisa mtu akamheshimu Ferg na asiiheshimu timu. Na ninachoamini CR asingeshangilia kamwe goli la kuifunga United kama timu ingekuwa chini ya Fergie na yote hiyo nini kwa sababu anamheshimu zaidi.
Ha ha ha duuu!Wakati CR7 anashangilia kutufunga, usisahau kuwa kocha wetu alikuwa Mourinho.
Enzi zile Mourinho akiwa Chelsea(miaka ya 2004-2007) alikuwa anamwambia CR7 kuwa anajidai kufunha sana timu wakati hakusoma.
Na hata Mourinho alipokwenda Madrid na kukutana na CR7 huko, nadhani mwisho wa siku Mourinho hakuwa na maelewano na baadhi ya wachezaji kama vile Casilas na huenda hata Ronaldo.
Hitimisho langu, CR7 hakushangilia kwa kuifunga Manchester United bali kwa kumfunga Mourinho.
Hahaha Mou hamna kocha mle mkuu , tapeli Lile si unaona anachofanya Tottenham
Hivi ikitokea ligi ikafutwa,possibly watapandisha timu ila pendine hawatashusha timu na bingwa kumkabidhi kombe. Je kwenye timu za top four zitazopaswa kucheza UCL next season itakuwaje? Mana hapo wakisema waache kama msimamo ulivyo haitakuwa haki hasa kwetu ambao tunakabana na Chelsea pale nginja nginja. Au watafanyaje? Kuna mdau yeyote anayejua way forward ya hii?Ujerumani wanaotegemea kuendelea na ligi ya soka mwezi Mei
Naona Uingereza Darts Premier League inaanza July
Sijui hizi ni dalili nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vyovyote vile maamuzi yoyote yakufuta ligi yatakuwa na impact kubwa sana kwa timu zote.Hivi ikitokea ligi ikafutwa,possibly watapandisha timu ila pendine hawatashusha timu na bingwa kumkabidhi kombe. Je kwenye timu za top four zitazopaswa kucheza UCL next season itakuwaje? Mana hapo wakisema waache kama msimamo ulivyo haitakuwa haki hasa kwetu ambao tunakabana na Chelsea pale nginja nginja. Au watafanyaje? Kuna mdau yeyote anayejua way forward ya hii?
Ikifika May, hali ikiwa mbaya waifute ligi zote waanze upya.Kwa vyovyote vile maamuzi yoyote yakufuta ligi yatakuwa na impact kubwa sana kwa timu zote.
Mathalani itakuwa very unfair kumnyima Liverpool ubingwa kwa stage aliyofikia.
Lakini itakuwa very unfair kwa timu za chini ambazo hata ile ta mwisho kabisa inaweza kujiokoa kushuka daraja kwa mechi zilizobaki.
Msimamo kwa timu za nafasi ya 5,67,8 napo zote hizo zinaweza kuingia top four hata top 3 ukifuta ligi na kutoa wawakilishi wa UEFA na EUROPA bado haimake sense.
Tuendelee kuomba hili janga liishe mapema ligi zirejee tu kwanza limetuharibia mishe mingi sana ya maana hapa town.
Sent using Jamii Forums mobile app
Transfer window?Ligi ilipofikia ni rahisi kuimalizia kama mambo yatakaa poa.
Kufuta ligi kabisa na kuanza mpya kwa sababu gani wakati wanaweza imalizia na mashindano ya euro yameshasogezwa mbele kupisha nafasi apo ya ligi kumalizwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou anatarajia kuingia katika kitabu cha Guinness kwa mafanikio makubwa katika soka, Tottenham shida ni majeruhi ila pia anasuka upya mfumo wa timu.Hahaha Mou hamna kocha mle mkuu , tapeli Lile si unaona anachofanya Tottenham
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati CR7 anashangilia kutufunga, usisahau kuwa kocha wetu alikuwa Mourinho.
Enzi zile Mourinho akiwa Chelsea(miaka ya 2004-2007) alikuwa anamwambia CR7 kuwa anajidai kufunha sana timu wakati hakusoma.
Na hata Mourinho alipokwenda Madrid na kukutana na CR7 huko, nadhani mwisho wa siku Mourinho hakuwa na maelewano na baadhi ya wachezaji kama vile Casilas na huenda hata Ronaldo.
Hitimisho langu, CR7 hakushangilia kwa kuifunga Manchester United bali kwa kumfunga Mourinho.
Kwendeni huko, Huyo mmakonde niliwaambia Hana analojua. Kapewa pesa kasajili utasemaje ana majeruhi. Tulieni Dawa iingie.Mou anatarajia kuingia katika kitabu cha Guinness kwa mafanikio makubwa katika soka, Tottenham shida ni majeruhi ila pia anasuka upya mfumo wa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kuigeuza timu yetu danguro... Mpelekeno Keko Magurumbasi FC sio Manchester United allllahJuventus are willing to let Cristiano Ronaldo go back to his former club Real Madrid for £50m.
#Chanzo :-SKYSPORT
Mnaonaje tukimchukua huyu jamaa huenda ikasaidia maana Juventus wabataka kuachana nae juu ya Dau la pesa na Juventus kwa kipindi hiki wanasema wanaelekea kwenye anguko la kiuchumi ko watashindwa kuhimili kumlipa CR7 na Wachezaji wengine ko wanatafta mbadala wa hilo kwa kumwondoa Turin.View attachment 1416055
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kuigeuza timu yetu danguro... Mpelekeno Keko Magurumbasi FC sio Manchester United allllah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Tot naamini nilitegemea ueleze zaidi ya hyo sababu ya kijinga uloweka. Naomba unisamehe kwa kusema sababu ya kijinga[emoji2]Mou anatarajia kuingia katika kitabu cha Guinness kwa mafanikio makubwa katika soka, Tottenham shida ni majeruhi ila pia anasuka upya mfumo wa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi nilishazoea watu ambao ni tabula rasa kama weweKuhusu Tot naamini nilitegemea ueleze zaidi ya hyo sababu ya kijinga uloweka. Naomba unisamehe kwa kusema sababu ya kijinga[emoji2]
Permanides na Mkwawe walihama na Mourinho, hivyo tegemea utetezi wa hali juu sana juu ya mafanikio ya Mourinho ambayo siyo siri ni makubwa sana katika soka.Kuhusu Tot naamini nilitegemea ueleze zaidi ya hyo sababu ya kijinga uloweka. Naomba unisamehe kwa kusema sababu ya kijinga[emoji2]