Yaani Bale anavuta mkwanja mrefu hivo kushinda hata kina Ramos, Modric na Kroos ambao ndio Skeleton ya Madrid!!!
Umesema tajiri gani kamkingia kifua asiondoke? Rais Perez ama?
I don't think so....
Wewe labda useme Bale bado yupo Madrid na kula pesa ndefu kuliko wenzake kwa sababu ya mkataba wake wa mwanzo wakati anasajiliwa.
Sijui mkataba unaisha lini abebe virago vyake.
Huyu Bale amekuzwa kuanzia mkwanja alionunuliwa nao, kisha mshahara...... Yani kuna wachezaji wana kismati cha kukubalika bila sababu ya msingi
Ukiangalia mchango wake kwa timu na mshahara anaokula, utagundua anawapiga Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu kwenye vibanda umiza, utasikia.... tatizo Greenwood hana speedView attachment 1395105
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya Man united vs Arsenal ile ya 8 - 2 inarudiwa muda huu kupitia SS3, kwa anayehitaji kuangalia kumbukizi tamu anaweza kuicheki muda huu.
Huyu dogo yuko vizuri sana kwenye aspects nyingi uwanjani kama timu iko stable anaweza kubattle na Aguero kwenye kufunga magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtoa Chelsea top four ni ndoto sana kwenuImetufanya tuanze kufikiria usajili tu badala ya kumtoa chelsea pale top four.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea pale top four atatoka tu.
Bado hajacheza na Liverpool, Man city Arsenal na Westham unategemea hizo games asidrop points ?
Sisi game ngumu tumebakiza Tottenham na Leceister tu tena Leceister OT
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ki Chelsea cha lampard au? Nakuhakikishia watatolewa na Man U kiurahisi tu. Hii corona ndio imetuharibia tulikuwa kwenye trend ya hatari na mori ilikuwa ishapanda
Chelsea pale top four atatoka tu.
Bado hajacheza na Liverpool, Man city Arsenal na Westham unategemea hizo games asidrop points ?
Sisi game ngumu tumebakiza Tottenham na Leceister tu tena Leceister OT
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa watumiaji wa facebook
ile page ya manchester united updates imepotelea wapi
mbona kadri ninapojaribu kuitafuta nakutana na page hii yenye likes 5000 wakati ile ilikuwa na likes takribani million 1
View attachment 1397094
Watu wa yombo vituka mukishashiba vitumbua na miguu ya kuku basi munaandikaga miharo
Achana na mpira kuna mambo mengi ya kufanya mkuu..