Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili gazeti umeandika wewe au mlevi gani??(Joke)

Dean Henderson ni mchezaji wetu,hakuna haja ya kumsajili ni kumrudisha tu
 
Tahit Chong ni right wing pekee pale united kwa sasa japokuwa huwa anacheza na left wing pia.

Angel Gomez ni central attacking midfielder ambaye kwenye kikosi cha sasa kwenye pecking order huenda ni wa sita baada ya Bruno Fernandez, Juan Mata, Andre's Pereira na Jesse Lingard sometimes Paul Pogba sasa unaweza ukaona ugumu anaokabiliana nao kuwaondoa hao viumbe hapo juu.

Tahit Chong ukimuondoa Daniel James labda na Rashford hakuna watu wengine wakicheza hizo nafasi ndiyo maana anapewa nafasi kubwa ili apate uzoefu kama atafanya vizuri united wasiingie sokoni kutafuta winger mwingine.

Kingine Tahit Chong huwa anafanya vizuri sana kwenye kile kikosi cha under 23.
Sijajua kwanini Ole anamprefer zaidi chong kuliko Gomez ,mimi naona chong bado sana hajatulia na anapapara sana bora Gomez anaonyesha ana kitu fulani natamani kumuona benchi zaidi kuliko huko under 23.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nakubaliana na hoja zako ulizoweka humu lakini ngoja nizungumzie suala la uzoefu wa Ole.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Ole anazidiwa kwa mbali sana katika management na hao walimu uliowataja hii inatokana na uzoefu wao na kufanya kazi katika vilabu tofauti tofauti kwa muda mrefu kuliko Ole.

Jambo linalonipa Faraja juu yake ni kuwa amekutana na hawa walimu pamoja na ubora wa vikosi vyao ukilinganisha na united amegoma kuwa mnyonge mbele yao.hivyo kama atakamilisha rebuild yake na kufanya assessment nzuri juu ya mapungufu yake msimu ujao huenda tukawa na timu yenye ushindani mkubwa sana.

Ni ukweli usiopingika pia Ole ameonyesha kuwa anaweza kumanage wachezaji wake vizuri pamoja na mapungufu ya hapa na pale lakini performance appraisal kwenye eneo hili wamefanya vizuri.

Bado naendelea kumpa benefit of doubt mpaka ligi iishe nione atatoka na nini kama atachanga karata zake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…