Duuh yani mpaka VAR huiamini, nyuma ya VAR kuna watu wangapi?Lile ni goli sema basi VAR imetubeba.
Vipi hujaleta livescore leo kule jukwaa la Gunners
#Nyumbu united
Basi Everton 2 Manutd 1Mnabebwa hadi inaboa Manina zenu kabisagoli halali unasema sio goli tutafika kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyie mbuzi tunapishana point ngapi kwani?? Tukutane may nyumbu mmoja wewe
HahahahaVipi hujaleta livescore leo kule jukwaa la Gunners
#Nyumbu united
Hii var si ndo huwa inaipendelea liverpoolDuuh yani mpaka VAR huiamini, nyuma ya VAR kuna watu wangapi?
Unataka kusema wote hawakuona na hawajui sheria za mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile ni goli sema basi VAR imetubeba.
tuliwahi kunyimwa same goal vs man city, zlatan alikuwa offside rashford akapiga shuti zlatan akalikwepa ila likawa sio goli. nimeambatanisha na videoEverton hajawahi kuwa easy prey kwetu, anyway ngoja tuendelee kumtanguliza Chelsea.
To be frank lile lilikuwa goli sema bahati imekuwa upande wetu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
tuliwahi kunyimwa same goal vs man city, zlatan alikuwa offside rashford akapiga shuti zlatan akalikwepa ila likawa sio goli. nimeambatanisha na video
Ndio hiyohiyo, leo wanakwambia unajua wapo watu wangapi nyuma ya VAR mpaka wakosee?Hii var si ndo huwa inaipendelea liverpool
Walikuwa wanafululiza kule Jukwaa la Liverpool wakiimba mapambio tunabebwa na VAR. Tunabebwa na VAR. Naona sasa watatulia kimya.Mnabebwa hadi inaboa Manina zenu kabisagoli halali unasema sio goli tutafika kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakubaliana na wewe Martial ni Lazy.Kuna watu hawaoni hili..Awaangalie Richarlson, Culvert Lewin et all. Ligi ya Uingereza ni kupambana haswaa, aache uzezeta.
Ighalo angeanza tungekuwa tunaongea mengine hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo sabb mliwahi kunyimwa basi mnastahili mpewe au sio?tuliwahi kunyimwa same goal vs man city, zlatan alikuwa offside rashford akapiga shuti zlatan akalikwepa ila likawa sio goli. nimeambatanisha na video
Utafika kwenda wapi?Mnabebwa hadi inaboa Manina zenu kabisagoli halali unasema sio goli tutafika kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app