hapana... ni scott mctominay amerudi tena baada ya kupata majeruhi
hapana... ni scott mctominay amerudi tena baada ya kupata majeruhi
Kweli mkuu, OGS apewe dirisha lingine alete maingizo yake ndio tuje kumlaumu hapa, hakuna muujiza ktk soka zaidi ya uvumilivuila washabiki wa united kwa pumba ni balaa, kocha na timu inayomfanya Fred aonekane World class sio kitu tena? Msimu huu Rashford amekua na mafanikio zaidi kuliko misimu yote aliochezea united na bado msimu haujaisha. Kocha ambae kila usajili wake ni mkali ndo sio kocha tena. Halaand na agent wake wana matatizo, lile jamaa lilitaka kiwekwe kipengele kama atauzwa baadae kuwe na fungu lake. Kwa kufanya hivyo maana yake agent anaweza kutengeneza zengwe baadae ili mchezaji auzwe lipate pasenti yake. Na hii mara nyingi inatokea mchezaji anapokuwa amefanya vizuri sana na ni tegemeo kwenye timu. Raiola ndio huyo anaemsimanga Ole kwa Pogba kwasababu anaona Pogba atakosa soko akiendelea kuwa United. Tuwe na taarifa sahihi kabla ya kuponda timu yetu. Muangalieni Frank Rijkaard alipoanza kuifundisha Barcelona, kabla ya Barcelona timu aliyoifundisha kule uholanzi aliishusha daraja kwa mara ya kwanza na Barcelona ikamuamini. Akiwa na Barcelona kuna wakati Barcelona ikawa katika nafasi za kushuka daraja. Yeye ndie aliempeleka Etoo na Ronaldinho Barcekona na akachukua UEFA baada ya miaka kadhaa ya barca kusuasua. Fuatilieni mambo united. Huyu ndie kocha wa kwanza united ambae mchezaji anaesajiliwa anaingia moja kwa moja kwenye timu na kufanya mabadiliko. Mpewe nini umbwa nyie? Aaagh
Team News
Scot Mc Tominay amerudi kwenye kikosi, akifanya mazoezi kamili (full training) na wenzake. He is the worior, siku zote amekuwa akirudi mapema kikosini kuliko inavyotazamiwa kila mara anapopata injury. Amekaa wiki 6 badala miezi 2 iliyotazamiwa. Hata hivyo hajaonekana akipanda ndege kwenda Ubelgiji
Lindelof amefanya mazoezi na kikosi cha kwanza, hii ni baada ya kushindwa kucheza mechi ya Chelsea. Lindelof amesafiri na kikosi kwenda Ubelgiji kuwakabili Club Brugge
Ighalo, Fernandez na Bishop wachezaji 3 waliosajiliwa katika dirisha dogo wote wameshiriki katika mazoezi ya mwisho leo kabla ya kwenda Ubelgiji na wote wamekwenda na kikosi.
Rashford, Tuanzebe, Fosu Mensah na Kirusi bado hawajawa fit kiasi cha kushiriki mazoezi ya kikosi na kujumuishwa kwenye kikosi cha timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm kama mwanamichezo naangaliaga game kibao tu za man u ,Duuuh ole mbinu zake zinaonekana
Hivi Daud1990 na Pter mnatatizo gani nyie wawili
Naunga mkono Pogba kuondoka.Hata wakimwachia free itamshusha hadhi sana Pogba na Makampuni ya kibiashara hayatamuona tena kama ni mtu anayefaa kufanya nae biashara.
Pogba thamani yake ilipaa sana alipokuwa Man united lakini akiondoka kwa dhalili atapata pigo kubwa sana kibiashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Our Scot is back.
Sure mkuuOur Scot is back.
Tunamhitaji kwenye mechi ya Everton away, Matic apumzike.
Mechi ya leo, Ole aweke full kikosi, mechi tuimalize hukohuko kwao, ili mechi ya marudiano FRED apumzike(kwa ajili ya everton)
Jumapili dhidi ya Watford full kikosi.
Beggars can't be choosers
Our Scot is back.
Tunamhitaji kwenye mechi ya Everton away, Matic apumzike.
Mechi ya leo, Ole aweke full kikosi, mechi tuimalize hukohuko kwao, ili mechi ya marudiano FRED apumzike(kwa ajili ya everton)
Jumapili dhidi ya Watford full kikosi.
Beggars can't be choosers
sema huyu jamaa mapafu ya mbwa kinoma..sijawahi kumwona amechoka
Lacazette amefunga juzi kwenye ushindi wa Arsenal 4 - 0.
Lingard ameushushia heshima mchezo wa mpira wa miguu. Hakustahili kabisa kuwa mchezaji wa mpira wa miguu bali mchezaji wa mchezo wa marathon. Akakimbie kwenye mbio za jumuiya ya madola.
Sent using Cash Money Wings