Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa hizi kauli, nategemea maisha yako yote ni kuangalia mpira na kupokea matokeo, bila kutoa maoni

Nyie endeleeni hivyo hivyo (japo wengine ni wanafiki, kuna kipindi huwa wanalalamika humu) lakini acheni na wengine watoe maoni yao, kama ni kusifu au kukosoa mapungufu ya kocha
Kuna mashabiki wanajua kuliko manager anayeshinda na wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole Against top 6 this season:
Has defeated Chelsea 3 times & did the league double over them for the first time in 32 years,

Has defeated City 2 out of 3 times, with return fixtures still to be played at Old Trafford,

Has defeated Mourinho's Spurs.

AND THE ONLY MANAGER TO TAKE POINTS FROM LIVERPOOL'S POCKET THIS SEASON.
 
Sema vibonde wenu ni City na Chelsea. Hapo kwa liverpool ushindi wenu ni draw tu. Naona umepambapaaambaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiamua kupata matokeo anayapata tu kutoka timu yoyote katika hali yoyote.

Alilithibitisha hilo dhidi ya PSG akiwa na majeruhi wengi kuliko kipindi chochote pale Park De princess.

Ole at the wheel.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool wamekuwa wanasaidiwa mara nyingi sana na VAR

Hapa tunachoongelea ni frequency ya kubebwa na VAR

Mechi ya juzi yenyewe na Norwich, Mane amemsukuma beki, kisha akafunga lakini VAR ikakaa kimya, ikakubali ni goli

Kwa hiyo watu wataendelea tu kusema kuwa Liver inabebwa na VAR
Haya anzeni tena kuongea kuhusu VAR. Maana ingekuwa ni Liverpool hapa mpaka mate yangekauka mdomoni kwa kulalama wanabebwa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu unataka uniambie mechi anazopigwa huwa anaamua kufungwa/kutopata matokeo
Akiamua kupata matokeo anayapata tu kutoka timu yoyote katika hali yoyote.

Alilithibitisha hilo dhidi ya PSG akiwa na majeruhi wengi kuliko kipindi chochote pale Park De princess.

Ole at the wheel.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie kelele nyingi acheni hizi Bruno Tumelamba mtu, haiwezekani wajinga Perreira na Rashford kutupaishia freekicks na kona. Now tuna dawa ya Freekicks na Kona.

Shukurani kwa perreira kumunong'oneza bruno apige moja kwa moja Maguire kula kichwa matata.


Saluti kwa Dogo Williams Ole Ole Dogo yupo kibabe zaidi hapo ndio raha.


Huwa najiamini Nikimuona dogo upande wa mawinga wasumbufu.

James Asee tunamfanyaje huyu dogo? Siku hizi amepoa.


Ighalo mechi ijayo tunamtaka, dakika chache alionyesha vitu ambavyo Martial madakika yote hakuonyesha.



Man U ijiangalie kupoteza ovyo mipira.




My Man Of the Match BRANDON WILLIAMS
 
Na Bruno nae aongeze kidogo passing accuracy yake aisee maana sometimes anatoa pasi zisizo na macho nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mzee baba, hata tukitoa mechi zote ambazo unasema VAR imetubeba, bado tunaongoza league. Yani hata saa hii tukafanya Liverpool asishinde tena, na nyie mkashinda kila mechi, bado hamtufikii. Have some respek!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kuandika hiki kitu cross chache za bruno tayari Maguire anaonekana Mtu kwenye Kona.

Na james majeruhi ya Rashford yamemuongezea majukumu. Jana alikuwa akichezeshwa kama striker, ndio maana unamuona kawa vile, katumika sana jamaa anahitaji rest.
 
takwimu zinaonesha utd wamefaidika zaidi na var kuliko pool!
 
Kwahiyo Bailly awe anasimama na Maguire sio? Nilikuwa napenda sana ukuta wa Bailly na Rojo,hawa hata washambuliaji wanawaogopa maana kumvunja mtu mguu ni jambo la sekunde tu😂
Inakumbusha defence ya Nick Butt na Wes Brown kitambo kidogo. Nilikuwa naenjoy ukatili wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…