Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Congratulations MUFC, tushinde mechi zote zijazo sasa. Chelsea wateja japo wanalia VAR VAR VAR. OT tuliwatungua 4 zero leo SB 2 zero.
 
Tumeshinda, ushindi wa leo umekuwa kama wa points 6 (points dhidi ya mpinzani wetu kwenye top four)

Points tatu nyuma ya top four

Bruno 1 assist, 1 woodwork, kiujumla amecheza vizuri

Tatizo sijui game na Watford na Toffees kama tutashinda, hii ndio Man Utd ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0508.JPG
venye shabiki wa Chelsea wako baada ya mechi ya Man Utd
 
Chelsea ni mchepuko wangu niliyempangia nyumba,ataachaje kunipa vinono??,,kodi atalipa yeye??

√Bailly ni beki mzuri ila ana papara nyingi zisizokuwa na msingi na pia kuna muda anakuwa na poor marking..Though,yupo fasta kufanya maamuzi kwenye hatari..Yaani Bailly ni best defender at the same time ni worst defender

√There is no way chelsea wangetufunga leo..

√Bissaka amecheza vizuri,,ile krosi ya assist nimeipenda

√Three points well served

Next ni Club Bruge then OT tukiwakaribisha Watford

GGMU
 
Tumeshinda, ushindi wa leo umekuwa kama wa points 6 (points dhidi ya mpinzani wetu kwenye top four)

Points tatu nyuma ya top four

Bruno 1 assist, 1 woodwork, kiujumla amecheza vizuri

Tatizo sijui game na Watford na Toffees kama tutashinda, hii ndio Man Utd ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshinda ndiyo lakini binafsi Bado sijalizishwa na uchezaji wetu na mfumo wa uchezaji ,

Bruno kacheza vizuri lakini nafikiri lile siyo eneo lake halisi la kumfanya afanye mambo makubwa saana,

Bruno anapaswa kushuka chini kidogo Kama namba nane siyo namba kumi,

Bruno Ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi na kutengeneza nafasi.

Fred mzuri lakini siyo mzuri kuanzisha mashambulizi..., Timu haina ubunifu katika eneo la mwisho.

Mbona man u wamecheza vzr sana karibu kila mchezaji kajitoa kwa uwezo wake
 
Ulitaka BF acheze wap tofauti na hapa... Au akacheze mbele kabisa kwenye nyavu ya Chelsea
Tumeshinda ndiyo lakini binafsi Bado sijalizishwa na uchezaji wetu na mfumo wa uchezaji ,

Bruno kacheza vizuri lakini nafikiri lile siyo eneo lake halisi la kumfanya afanye mambo makubwa saana,

Bruno anapaswa kushuka chini kidogo Kama namba nane siyo namba kumi,

Bruno Ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi na kutengeneza nafasi.

Fred mzuri lakini siyo mzuri kuanzisha mashambulizi..., Timu haina ubunifu katika eneo la mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
2310530_Screenshot_20200217-220411.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom