Mfano mzuri ni hapa hapa ligi yetu pendwa ya Uingereza Pfa young player of the year, hawa wameshaibeba wakiwa na miaka 20+ mpaka 23
1. Rahim sterling kabeba msimu uliopita 2018/2019 sterling ameanza 2018 akiwa na miaka 23 na december 2018 akatimiza miaka 24 lakini sababu tu miezi michache kacheza akiwa na miaka 23 akabeba tuzo.
2. Gareth bale miaka 23
3. Ronaldo miaka 22
4. Sane 22 etc
Unaweza angalia list hapa
Na sio msimu huu tu hata mwakani Rashford bado atakuwa regarded kama young player.
Evidence nyengine ni kama
-olympic miaka 23
-Ligi za watoto/reserve miaka 23 (premier league 2)
-mpaka Africa kuna Afcon under 23
-Asia u23 etc
Wasiliana na uefa hapa peleka malalamiko yako
Contact UEFA
Europe's football website, UEFA.com, is the official site of UEFA, the Union of European Football Associations, and the governing body of football in Europe. UEFA organises some of the most famous and prestigious football competitions on the European continent including the UEFA Champions...www.uefa.com
Mc cane,
Tujitahidi tuwe hata wa 5 basi
Hahahaa duh! Hata hvyo the official statement said they (Manchester City) have an option to appeal.
1. Kupromote youth na kuhakikisha tuna academy bora zaidi itakayofeed timu, Nick butt amekuwa promoted na watu ambao wanaijua man U wamewekwa kila mahali mpaka ma legend wetu wa zamani wa Africa kina Quiton Fortune wamekula shavu.
Unaweza kupindisha maneno mkuu lakini ujumbe umefikaNilikuwa sijui mkuu kumbe Young Player of the Year, kiswahili chake ni mchezaji Mtoto wa Mwaka [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo hili limenitia mashaka ama kwa hakika.#mufc have told Odion Ighalo to stay away from Carrington due to fears of coronavirus #mulive [espn]
Ninavyoskia atakaa mbali na wenzake kwa muda wa wiki mbili maana virusi hivyo wanavyosema huwezi survive ndani ya hizo wiki utakuwa ushagundulika kama unao.
kuna muda naona wanambagua tu jamaa maana kama alipotia maguu Kwenye club alipimwa na akainekana yupo Fit how comes Virusi vya CORONA visionekane ko hawa waamini ma Daktari wao???
kuna muda nawaza ujinga naona waugue wote akiwemo Ed Woodward wafe Prince achukue Timu tuanze upya hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weed weed [emoji271][emoji263][emoji260]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kupindisha maneno mkuu lakini ujumbe umefika
Hata mata tunamuita babu ama mzee haimaanishi kwenye real life ni mzee ila kikawaida kwenye soccer mchezaji akiwa 30+ tunamuita mzee.
Na kwa watoto ni hivyo hivyo chini ya miaka 23 ni watoto, haimaanishi bado wanatoka makamasi na kunyonya kwa mama zao, ina maanisha ni watoto kwenye soka.
Sawa mkuu, J3 tuna game muhimu sana (must win)1. Kupromote youth na kuhakikisha tuna academy bora zaidi itakayofeed timu, Nick butt amekuwa promoted na watu ambao wanaijua man U wamewekwa kila mahali mpaka ma legend wetu wa zamani wa Africa kina Quiton Fortune wamekula shavu.
Kwenye Academy sasa hivi kuna Top top players mfano mzuri ni huyu dogo Mjebri, msimu wa huu alikuwa na miaka 16 na ametimiza 17 hivi karibuni lakini hachezi na watoto wa u18 amepandishwa hadi u23, na Huko u23 anakiwasha vibaya mno, mechi 3 tayari ana assist 5.
2. Kusajili watu wanaotaka kuja man united tu na wenye njaa ya mafanikio
Timu kama man united tuna njia zetu, Toka kipindi cha fergie wameshakuja kina Veron, kagawa, kleberson, Djemba djemba etc na wote wakashindwa kufikia potential zao, Kleberson juzi anahojiwa anasema alikuja Man United sababu alijua Ronaldinho nae anakuja man U.
Ukiangalia kipindi cha karibuni watu wamefanya Man U kama ni sehemu ya kula pension, wanakuja kula bata na mishahara mikubwa.
Ole vision yake ya usajili ni vijana wenye Right attitude, njaa ya mafanikio na watu ambao wapo tayari kufia jezi.
Man U hatujulikani sana kwa vipaji, ama chenga, bali tunajulikana kwa spirit yetu, tunapigana hadi dakika ya mwisho,
-wan bissaka tumemuona so far beki bora wa kulia ligi ya uingereza (whoscored), kawazima masuper star kibao msimu huu sterling, mane, Adama etc
-Maguire naye tunamuona japo kaja bei kubwa ila ni big improvement toka kwa watu kama jones/Rojo na leadership skills zinaonekana
-james japo hana kipaji kikubwa ila amecheza vizuri sana
Hawa tuliosajili january tayari kuna positive zinaonekana
-Ighalo amekubali kupunguziwa mshahara ili acheze man united, jambo kama hili pekee linaonesha jinsi gani jamaa atakavyofia jezi.
-Bruno amekataa Barcelona sababu ya man United, hakuna reliable source ya mshahara ila tetesi mshahara wake ni around 70k mpaka 100k ambao pia unaonesha jinsi gani jamaa anataka kuprove man utd na sio kuja kula pension.
So far kuna positive nyingi sana kwenye usajili.
3. Kuanza upya na wachezaji kukua na Timu
Tumejaribu njia nyingi sana ikiwemo kununua masuper star, Timu juzi hapa tu mbele kuna RVP, Rooney, Falcao, Di maria etc lakini still tulikuwa hatufanyi vizuri, Mjinga ni yule anaejaribu kitu kinashindwa then anarudia tena kile kile akitegemea matokeo tofauti.
Vision ya Ole ni kuwa na Vijana then wakue na Timu ndio maana unaona Forward line yetu sasa hivi ina Martial, Rashford na Greenwood, na wote japo ni wadogo ila tunaona Impact yao. Pia tuna watu kama AWB, Mc tominay, lindelof, Williams etc wote ni watoto wenye potentials kubwa sana.
4. Attitude na cultural reboot
Ili timu ifanye vizuri inabidi iwe kitu kimoja tofauti na mkuu mc cane na vijarida kama Men sasa hivi kuna ushahidi wa kutosha timu yetu ni kitu kimoja, hao kina pogba wanaopondwa ni big figure katika dressing room, nimeangalia interview nyingi sana za wachezaji mbali mbali kuanzia watoto mpaka wakubwa na wote wanamshukuru pogba kwa kusettle kwenye club na anavyowasaidia mpaka kublend kwenye kikosi.
Attitude za wachezaji wengi sasa hivi zipo vizuri wachezaji wanaoumia timu ikifungwa, japo si jambo zuri majeruhi ya Rashford, pogba na Mc tominay lakini unaona wachezaji wapo tayari kucheza na maumivu kwa ajili ya Timu.
Sasa hivi kikosi chetu bado kama wachezaji wawili tu na tutakuwa na 1st eleven Winger wa kulia aka Jadon sancho position na Kiungo mkabaji mmoja tayari tutakuwa na uwezo wa kupambana na yoyote,
Tukisha kamilisha hapo ndio tunaanza sasa ku improve kikosi kwa kuleta wachezaji wazuri zaidi.
Pambano litakuwa ni World Classteh teh teh
nasubiria siku ambayo hawa wanadamu wawili (Chief-Mkwawa na Mc cane watakapotwangana ngumi kwa njia ya keyboard).... hiyo siku nitatengeneza hela nyingi sana nikiwa kama promoter.
Darmian , Tanayzer , PTER na wadau wengineo munaokuja na kupotea humu jukwaani..
tiketi za mpambano zinakaribia kumalizikaaaaaa....
kabisaaa.... hiyo mechi hata wapinzani wetu uchwara (majogoo wataruhusika kuingia uwanjani)Pambano litakuwa ni World Class
teh teh teh
nasubiria siku ambayo hawa wanadamu wawili (Chief-Mkwawa na Mc cane watakapotwangana ngumi kwa njia ya keyboard).... hiyo siku nitatengeneza hela nyingi sana nikiwa kama promoter.
Darmian , Tanayzer , PTER na wadau wengineo munaokuja na kupotea humu jukwaani..
tiketi za mpambano zinakaribia kumalizikaaaaaa....
teh teh teh
nasubiria siku ambayo hawa wanadamu wawili (Chief-Mkwawa na Mc cane watakapotwangana ngumi kwa njia ya keyboard).... hiyo siku nitatengeneza hela nyingi sana nikiwa kama promoter.
Darmian , Tanayzer , PTER na wadau wengineo munaokuja na kupotea humu jukwaani..
tiketi za mpambano zinakaribia kumalizikaaaaaa....
Jambo hili limenitia mashaka ama kwa hakika.
Umesema vyema ila kwa Pochettino umeharibu.I don't hate Ole, Pogba ni mpuuzi sababu ya kutoishimu badge
Kwamba sina hata nusu uwezo wa wale wanaopanga mipango ya United, may be Yes, but I'm entitled to my opinion, and I am free to think.... I'm not like you who believe people who leading United (or people who are there in Europe, in United Board are angels) I'm not bendera fuata upepo like others, I'm am free thinker, may be not like you
Hao watu unaowasifu kwamba wana uwezo mkubwa wa kufikiri na tusiwakosoe, ndio mwaka wa 6/7 huu wanaendelea kutudumbukiza shimoni. Hao watu wameifikisha leo Man Utd kufurahia Man City kupata ban ili angalau tuwe 5 [emoji24][emoji24], MAN UTD TOP 5,LEO TUNAOMBEA TOP 5? HII NDIO LEVEL TULIYOFIKIA UNITED.
The truth must be said, after all, naheshimu your opinions ya kumtukuza Pogba, mchezaji ambaye haheshimu badge ya United unatakaje mimi nimheshimu. Sijawahi kuwa shabiki wa mchezaji au kocha wa Man Utd, siwezi kumuweka mchezaji juu ya timu yangu, kila mchezaji wa United ninayempenda ni kwa sababu ya anapambana kwa ajili ya United, hata mchezaji mwenye uwezo wa kawaida pale United nitamheshimu ili miradi anapambana badge
Kuna mwenzako sababu ya kumpenda Pogba sana akawa anakataa kwamba Pogba hajawahi kutaka kuondoka United, eti ni uzushi wa magazeti [emoji3][emoji3], wakati kila kitu kipo dhahiri. Kuondoka sio kosa, kosa ni namna yeye na wakala wake wanavyo handle kuondoka kwake, kosa ni namna alivyo poisonous influence kwenye changing room, kosa ni Ole kung'ang'ania kirusi ili kiendelee kuchafua hali ya hewa.
Narudia kusema kwamba sijawahi kumchukia OGS kama kocha, na nina muhusudu sana kama mchezaji legend. Lakini the truth must be said, viatu vya ukocha wa United ni vikubwa sana kwa Ole na ninapotaja mapungufu yake isichukuliwe kuwa namchukia.
Ukweli ni kwamba, kwa matokeo anayopata Ole, angekuwa ni Jose, Van Gaal, Moyes asingekuwepo kazini, Ole anatembelea nyota ya u legend pale United, pengine Ed anaogopa kumuondoa sababu na yeye ataonekana kilaza maana ni kocha wa 4 tangu SAF lakini timu bado inafeli
Ole apewe muda, tayari ana zaidi ya mwaka. Bora angekuwa hapati matokeo lakini uone kuna kitu anafanya, ukiambiwa hata utaje falsafa ya Ole ni ngumu kuelezea, ni kama anawaambia wachezaji mkinyang'anya adui mpira washanbuliaji wakimbie mbele halafu mabeki/viungo wawatupie mipira. Lampard, Rodgers, Negel Peaeson (Watford), Wilder (Sheffield United), Ralph (Southampton) hata Rochdale wanacheza mpira unaoeleweka, unajua kabisa hii timu inatafuta nini,lakini sio United ya Ole.
Mbadala wa Ole upo, ukitaka established names, anza na Poch (first choice) , nenda kwa Allegri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha anauza wachezaji wazuri anaacha makapi halafu anakuwa comfortable kabisa kuanza msimu na kikosi chembamba.Professionals gani unaowazungumzia mkuu, umemkandia sana jamaa kwa kutoa mawazo yake ila hao professionals si wangesolve injury crisis ndani ya kikosi mbona wamefeli? Pia huyo chain ya decision making haijafuatwa hakuna timu itakayoruhusu majeruhi aliyefanyiwa surgery week 2 asafiri ovyo kama kawaida yangu pogba.....
Umesahau alikuwa anach za basketball hadi world of football wakamhoji ole mbona pogba mzima anacheza basket USA.....
Project ya Ole ni failure kwa asilimia 80 mpaka sahizi kwa saini alizofanya na ujinga wa kuuza striker sioni anapitupeleka, huoni Daniel James anastruggle now hii ni failure of tactics recognition kwa mchezaji yani Daniel hajui hata tunatumia tactics gani ndio maana anakimbia kimbia tu......
Ile anategemea personal brilliance ya mchezaji na sio uwezo wake wa tactics mbona tunashika namba 9 now kana project ingekuwa unafanya kazi bas angalau hata top 5 tungekuwepo.... Mkuu Mc cane tupo pamoja katika hili Ole ni failure na pogba ni failure anayejificha katika majeruhi wanavyobuy muda wa kumtafutia chaka lingine.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wagonjwa wanaosubiriwa wapone na ligi nayo inawasubiri?Poch hajashiriki misimu yote Uefa, msimu wa kwanza alimaliza wa tano na alifika Fainali ya cup moja kama ole Tu.
Chengine watu wanasahau Spurs tayari ilijengwa, poch amerithi kikosi kizuri na tayari walikuwa wameshiriki Uefa mara kadhaa, wakati poch anapewa Timu tayari hawa watu wapo Spurs
Hugo lloris, Harry kane, Vertoghen, Eriksen, Dembele, lamela, Dier, Walker, Rose etc
Poch ni kocha mzuri na ana vitu ambavyo vinaashiria anaweza kuwa success united ila hakuna Guarantee yoyote kwamba atafanikiwa, siamini pia kama ana uwezo kushinda Mou na LVG.
Na So far ole ameshafanikiwa mambo mengi japo matokeo hayajakuwa ya kuridhisha kuna positive nyingi za kuongelea.
1. Wachezaji wote tuliokuwa tunawaita deadwood wanaondoka mmoja baada ya mwengine, ama hawapati namba kabisa kina Felaini, Young, sanchez, chuckles brothers etc
2. Usajili so far ni almost perfect, hatujapata wachezaji wote tunaowataka ila kila mchezaji anaekuja ni mtu anaejua maana ya kuchezea United, taratibu lakini uhakika.
3. Attitude ya timu imebadilika na dressing room limetulia husikii watu wakilalamika na wachezaji wana furaha
4. Viwango vya wachezaji vimekuwa majority ya Timu, mchezaji kama Rashford anafananishwa na Kina Ronaldo na Messi Top scorer wa watoto ligi zote, Mc tominay, fred, James, Bissaka, williams, greenwood etc wapo form of their life na wote hawa bado ni wadogo sana wana miaka mingi sana mpaka kufikia potentiat zao.
Ngoja hichi kikosi watu wapone na dozi za goli 4 zitaanza tena Haters wengi utaona na wao wanabadili gear angani, nature ya jukwaa letu.
Van Gaal ameifundisha United na muelekeo ulikuwa unaonekana. Falsafa ilikuwa clear.Van gaal kaingia fainali 3 za ulaya mfululizo rekodi yake ikavunjwa juzi na madrid na kabla ya kuja kwetu alikuwa na fainali ya karibuni, Mou kabeba mara 2 Uefa tena mara moja na FC porto timu ambayo huwezi kutabiri.