Professionals gani unaowazungumzia mkuu, umemkandia sana jamaa kwa kutoa mawazo yake ila hao professionals si wangesolve injury crisis ndani ya kikosi mbona wamefeli? Pia huyo chain ya decision making haijafuatwa hakuna timu itakayoruhusu majeruhi aliyefanyiwa surgery week 2 asafiri ovyo kama kawaida yangu pogba.....You have too much hate on Paul and Ole. Hadi muda mwingine unaandikaga hoja zisizo na msingi humu. Yaani wewe kila siku ni kumpinga Ole tu na kumsema Pogba.
Let me remind you that Manchester united is one of the top teams in the world of football and is run by professionals ambao hata kiuwezo wa kufikiria hufiki hata nusu coz ur clueless on how a big club like Manchester is being run.
Issue hadi unaona Paul anaenda kufanya personal recovery Dubai ujue kuna chain of decision making imefanywa na specialists wa afya yake so hizo propaganda zako za kila siku kumsema Paul hovyo uache respect him as he is still a united player till pale atakapoondoka.
Na pia learn to give Ole time bado project yake inaendelea be patient uache kumponda Ole kila siku wakati kwenye market hakuna kocha wa uhakila wa kuturudisha kwenye glory days.
Mkuu hii ni facts tu Ole amejificha kwenye kichaka cha rebuild but uwezo hana mbona hatuna tactic inayoeleweka hata ule ushindi wa PSG ilikuwa ni personal brilliance ya mchezaji mmoja mmoja tu.....I don't hate Ole, Pogba ni mpuuzi sababu ya kutoishimu badge
Kwamba sina hata nusu uwezo wa wale wanaopanga mipango ya United, may be Yes, but I'm entitled to my opinion, and I am free to think.... I'm not like you who believe people who leading United (or people who are there in Europe, in United Board are angels) I'm not bendera fuata upepo like others, I'm am free thinker, may be not like you
Hao watu unaowasifu kwamba wana uwezo mkubwa wa kufikiri na tusiwakosoe, ndio mwaka wa 6/7 huu wanaendelea kutudumbukiza shimoni. Hao watu wameifikisha leo Man Utd kufurahia Man City kupata ban ili angalau tuwe 5 [emoji24][emoji24], MAN UTD TOP 5,LEO TUNAOMBEA TOP 5? HII NDIO LEVEL TULIYOFIKIA UNITED.
The truth must be said, after all, naheshimu your opinions ya kumtukuza Pogba, mchezaji ambaye haheshimu badge ya United unatakaje mimi nimheshimu. Sijawahi kuwa shabiki wa mchezaji au kocha wa Man Utd, siwezi kumuweka mchezaji juu ya timu yangu, kila mchezaji wa United ninayempenda ni kwa sababu ya anapambana kwa ajili ya United, hata mchezaji mwenye uwezo wa kawaida pale United nitamheshimu ili miradi anapambana badge
Kuna mwenzako sababu ya kumpenda Pogba sana akawa anakataa kwamba Pogba hajawahi kutaka kuondoka United, eti ni uzushi wa magazeti [emoji3][emoji3], wakati kila kitu kipo dhahiri. Kuondoka sio kosa, kosa ni namna yeye na wakala wake wanavyo handle kuondoka kwake, kosa ni namna alivyo poisonous influence kwenye changing room, kosa ni Ole kung'ang'ania kirusi ili kiendelee kuchafua hali ya hewa.
Narudia kusema kwamba sijawahi kumchukia OGS kama kocha, na nina muhusudu sana kama mchezaji legend. Lakini the truth must be said, viatu vya ukocha wa United ni vikubwa sana kwa Ole na ninapotaja mapungufu yake isichukuliwe kuwa namchukia.
Ukweli ni kwamba, kwa matokeo anayopata Ole, angekuwa ni Jose, Van Gaal, Moyes asingekuwepo kazini, Ole anatembelea nyota ya u legend pale United, pengine Ed anaogopa kumuondoa sababu na yeye ataonekana kilaza maana ni kocha wa 4 tangu SAF lakini timu bado inafeli
Ole apewe muda, tayari ana zaidi ya mwaka. Bora angekuwa hapati matokeo lakini uone kuna kitu anafanya, ukiambiwa hata utaje falsafa ya Ole ni ngumu kuelezea, ni kama anawaambia wachezaji mkinyang'anya adui mpira washanbuliaji wakimbie mbele halafu mabeki/viungo wawatupie mipira. Lampard, Rodgers, Negel Peaeson (Watford), Wilder (Sheffield United), Ralph (Southampton) hata Rochdale wanacheza mpira unaoeleweka, unajua kabisa hii timu inatafuta nini,lakini sio United ya Ole.
Mbadala wa Ole upo, ukitaka established names, anza na Poch (first choice) , nenda kwa Allegri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole ni mbovu kimbinu. Kushinda mechi kubwa haimaanishi yeye ni bora kimikakati,wakati mwingine ni kukamia tu game kunatupa ushindi. Kwa hiyo kitendo cha kushinda hizo game ulizosema hapo inamaanisha ogs ana mbinu zaidi ya hao makocha alowadindishia!?
Poch ?? Trophiless manager ni gambling tu kama ya Ole. Heri tuendelee na rebuild ya Ole kuliko kumchukua Pochetino.
Pochetino kuonekana amefanikiwa kulichangiwa sana na kuporomoka kwa united na Arsenal hizo timu zingekuwa kwenye ubora wake Poch asingeingia top four akiwa na Tottenham.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poch ni trophiless manager, LAKINI
1. Poch ana clear way of playing (falsafa) , na ni attractive football na anashinda. Ole amekuwa akiongelea identity ya United, lakini hiyo identity uwanjani (sio administratively) anayoongelea hajulikani ni ipi
2. Poch ameshiriki UEFA miaka yote ambayo amekuwa Spurs with very limited bubget, kuna misimu kama 3 hakusajili kabisa. Na kwa sasa United lengo letu kubwa si UEFA? (angalau, malengo ya Ed). Mimi binafsi naamini malengo yetu yanapaswa kushinda kombe na Poch anaweza kushinda. Kwani Pep, Jose, Klop, Sari kabla ya kushinda makombe yao ya kwanza walikuwa wameshinda?
3. Poch amefanikiwa kwenye ligi ya Uingereza, akiwa na Southampton kisha akiwa na Spurs, Ole Uingereza amevuna aibu akiwa Cardiff na sasa United. Kumfananisha Ole na Poch ni kumtukana Poch
4. Ingekuwa Ole anafanya jambo linaloonekana tungesema apewe muda, sasa hivi apewe muda ili afanyaje, aendelee kuharibu timu, najua hapa kuna baadhi ya watu watabisha lakini ukweli ni kwamba United tunakikosi ambacho kipo 3 bora (kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja) lakini mpira wa timu ya Sheffield United, Leicester ni mzuri kuliko wetu. Second/Third highest wage bill in the world squad ni ya United, lakini chini ya Ole wanarukaruka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chengine watu wanasahau Spurs tayari ilijengwa, poch amerithi kikosi kizuri na tayari walikuwa wameshiriki Uefa mara kadhaa, wakati poch anapewa Timu tayari hawa watu wapo SpursPoch ?? Trophiless manager ni gambling tu kama ya Ole. Heri tuendelee na rebuild ya Ole kuliko kumchukua Pochetino.
Pochetino kuonekana amefanikiwa kulichangiwa sana na kuporomoka kwa united na Arsenal hizo timu zingekuwa kwenye ubora wake Poch asingeingia top four akiwa na Tottenham.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Poch huyo huyo, kaifikisha Tot fainali ya UCL.Poch ?? Trophiless manager ni gambling tu kama ya Ole. Heri tuendelee na rebuild ya Ole kuliko kumchukua Pochetino.
Pochetino kuonekana amefanikiwa kulichangiwa sana na kuporomoka kwa united na Arsenal hizo timu zingekuwa kwenye ubora wake Poch asingeingia top four akiwa na Tottenham.
Sent using Jamii Forums mobile app
safi mkuu jamaa wanahoja dhaifu sanaLakini Poch huyo huyo, kaifikisha Tot fainali ya UCL.
Van gaal kaingia fainali 3 za ulaya mfululizo rekodi yake ikavunjwa juzi na madrid na kabla ya kuja kwetu alikuwa na fainali ya karibuni, Mou kabeba mara 2 Uefa tena mara moja na FC porto timu ambayo huwezi kutabiri.Lakini Poch huyo huyo, kaifikisha Tot fainali ya UCL.
Lakini Poch huyo huyo, kaifikisha Tot fainali ya UCL.
Poch hajashiriki misimu yote Uefa, msimu wa kwanza alimaliza wa tano na alifika Fainali ya cup moja kama ole Tu.
Chengine watu wanasahau Spurs tayari ilijengwa, poch amerithi kikosi kizuri na tayari walikuwa wameshiriki Uefa mara kadhaa, wakati poch anapewa Timu tayari hawa watu wapo Spurs
Hugo lloris, Harry kane, Vertoghen, Eriksen, Dembele, lamela, Dier, Walker, Rose etc
Poch ni kocha mzuri na ana vitu ambavyo vinaashiria anaweza kuwa success united ila hakuna Guarantee yoyote kwamba atafanikiwa, siamini pia kama ana uwezo kushinda Mou na LVG.
Na So far ole ameshafanikiwa mambo mengi japo matokeo hayajakuwa ya kuridhisha kuna positive nyingi za kuongelea.
1. Wachezaji wote tuliokuwa tunawaita deadwood wanaondoka mmoja baada ya mwengine, ama hawapati namba kabisa kina Felaini, Young, sanchez, chuckles brothers etc
2. Usajili so far ni almost perfect, hatujapata wachezaji wote tunaowataka ila kila mchezaji anaekuja ni mtu anaejua maana ya kuchezea United, taratibu lakini uhakika.
3. Attitude ya timu imebadilika na dressing room limetulia husikii watu wakilalamika na wachezaji wana furaha
4. Viwango vya wachezaji vimekuwa majority ya Timu, mchezaji kama Rashford anafananishwa na Kina Ronaldo na Messi Top scorer wa watoto ligi zote, Mc tominay, fred, James, Bissaka, williams, greenwood etc wapo form of their life na wote hawa bado ni wadogo sana wana miaka mingi sana mpaka kufikia potentiat zao.
Ngoja hichi kikosi watu wapone na dozi za goli 4 zitaanza tena Haters wengi utaona na wao wanabadili gear angani, nature ya jukwaa letu.
Waandikie email uefa, Fa etc hao ndio walioeka sheria kwamba mchezaji akiwa na miaka 23 kushuka chini anahesabiwa kama Mtoto, na rashford atagombea tuzo za watoto.Mkuu kwanini unapenda kuongea vitu ambavyo sivyo
1. Rashford "mtoto", top scorer wa "watoto" (22 years of age) , sitatafuta wengine, tubaki kwa Haaland tu (19 years), Haaland amemuacha mbali sana Rashy kiufungaji kwa msimu huu
Unaendeleza chuki zako kwa Ole na Pogba2. The squad is happy, the squad is united, hii ni myth ambayo OGS anawalisha mashabiki matango pori. Nani asiyejua kirusi is not happy at United, he want to leave, nani asiyejua Matic is not happy na bila midfield crisis tuliyoipata December mpaka January, sasa hivi angekuwa Atletico au Inter. Fred juzi ameteleza kuwa kuna wachezaji wa binafsi na kikosi kina matatizo mengi sana, leo unataka tu kuamini wewe na sio Fred.
Sasa mkuu huoni ufananisho wako sio fair? Poch msimu wake full ameshindwa kuifikisha Spurs uefa ila akaweza msimu unaofuata, same kwa Klop hivyo hivyo ila Ole peke yake ndio tumhukumu kwa msimu wa kwanza? Spurs wangekuwa kama wewe wakamtimua poch msimu wa kwanza leo wangekuwa wapi?3. Poch ameiingiza timu top 4 (isipokuwa msimu wake wa kwanza), ameiingiza timu top four mara 4 katika ya misimu 5. Kabla ya Poch kutua Spurs, kwa miaka 22 iliyopita Spurs iliingia top four mara 2 tu, unasemaje kwamba Poch aliyofanya ni ya kawaida
HATA molde walikuwa hawalijui kombe, ronaldo alikuwa halijui goli, Academy ya Man U ilikuwa haitoi products za maana kwa muda ila ole akafanikisha kabla ya kuwa kocha mkuu Utd.4. Poch ameiingiza Spurs fainali ya UEFA, tangu kuumbwa kwa Spurs haijawahi kufikia hayo mafanikio, hapa Poch anafananishwaje na Ole. Ole na Poch ni ardhi na Mbingu Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishaweka msimamo wangu humu, kama anakuja Dof na tunaweka vision mpya na anaona ole hafit vision yake then kwa moyo safi kabisa Akiondoka ole nitakubali.Van Gaal na Mourinho walikuwa na record bora zaidi kuliko Poch.
Kuanza rebuild kwa gambling kama hii ni heri kuendelea kusubiri Ole azoee kufundisha timu kubwa.
Nitakubaliana na project mpya from a proven manager with silver wear kama Allegry ila siyo Pochetino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waandikie email uefa, Fa etc hao ndio walioeka sheria kwamba mchezaji akiwa na miaka 23 kushuka chini anahesabiwa kama Mtoto, na rashford atagombea tuzo za watoto.
Unaendeleza chuki zako kwa Ole na Pogba
For your infromation Matic anaomba aongezewe mkataba na ana furaha man utd
'Man Utd is my first option' - Matic eager to sign new contract at Old Trafford | Goal.com
Nemanja Matic has said he wants to stay at Manchester United and will snub his "many" admirers if offered a contract extension.www.goal.com
Nipe source moja tu kwamba matic hana furaha, source inayoeleweka sio vile vijarida vyako vya uchochoroni kama Men.
Sasa mkuu huoni ufananisho wako sio fair? Poch msimu wake full ameshindwa kuifikisha Spurs uefa ila akaweza msimu unaofuata, same kwa Klop hivyo hivyo ila Ole peke yake ndio tumhukumu kwa msimu wa kwanza? Spurs wangekuwa kama wewe wakamtimua poch msimu wa kwanza leo wangekuwa wapi?
HATA molde walikuwa hawalijui kombe, ronaldo alikuwa halijui goli, Academy ya Man U ilikuwa haitoi products za maana kwa muda ila ole akafanikisha kabla ya kuwa kocha mkuu Utd.
Waandikie email uefa, Fa etc hao ndio walioeka sheria kwamba mchezaji akiwa na miaka 23 kushuka chini anahesabiwa kama Mtoto, na rashford atagombea tuzo za watoto.
Unaendeleza chuki zako kwa Ole na Pogba
For your infromation Matic anaomba aongezewe mkataba na ana furaha man utd
'Man Utd is my first option' - Matic eager to sign new contract at Old Trafford | Goal.com
Nemanja Matic has said he wants to stay at Manchester United and will snub his "many" admirers if offered a contract extension.www.goal.com
Nipe source moja tu kwamba matic hana furaha, source inayoeleweka sio vile vijarida vyako vya uchochoroni kama Men.
Sasa mkuu huoni ufananisho wako sio fair? Poch msimu wake full ameshindwa kuifikisha Spurs uefa ila akaweza msimu unaofuata, same kwa Klop hivyo hivyo ila Ole peke yake ndio tumhukumu kwa msimu wa kwanza? Spurs wangekuwa kama wewe wakamtimua poch msimu wa kwanza leo wangekuwa wapi?
HATA molde walikuwa hawalijui kombe, ronaldo alikuwa halijui goli, Academy ya Man U ilikuwa haitoi products za maana kwa muda ila ole akafanikisha kabla ya kuwa kocha mkuu Utd.
Ligi kuu ya Norway ni sawa na League 2 ya Uingereza, kuhesabu kombe la ligi Norway kama mafanikio ukifananisha meneja aliyetinga fainali UEFA ni kujichanganyaWaandikie email uefa, Fa etc hao ndio walioeka sheria kwamba mchezaji akiwa na miaka 23 kushuka chini anahesabiwa kama Mtoto, na rashford atagombea tuzo za watoto.
Unaendeleza chuki zako kwa Ole na Pogba
For your infromation Matic anaomba aongezewe mkataba na ana furaha man utd
'Man Utd is my first option' - Matic eager to sign new contract at Old Trafford | Goal.com
Nemanja Matic has said he wants to stay at Manchester United and will snub his "many" admirers if offered a contract extension.www.goal.com
Nipe source moja tu kwamba matic hana furaha, source inayoeleweka sio vile vijarida vyako vya uchochoroni kama Men.
Sasa mkuu huoni ufananisho wako sio fair? Poch msimu wake full ameshindwa kuifikisha Spurs uefa ila akaweza msimu unaofuata, same kwa Klop hivyo hivyo ila Ole peke yake ndio tumhukumu kwa msimu wa kwanza? Spurs wangekuwa kama wewe wakamtimua poch msimu wa kwanza leo wangekuwa wapi?
HATA molde walikuwa hawalijui kombe, ronaldo alikuwa halijui goli, Academy ya Man U ilikuwa haitoi products za maana kwa muda ila ole akafanikisha kabla ya kuwa kocha mkuu Utd.
1.Hiyo tuzo inaitwaje, ili tuone kama hao UEFA wanaiita ya watoto au kuna mbongo mmoja huku ameamua kuiita tuzo ya watoto. Nitajie hiyo tuzo ya watoto namna inavyoitwa tafadhali, Baada ya hapo nitaomba unipe email adress yao ili niwaandikie
2. Mimi siwezi kumfananisha Poch na OGS maana hawafananishiki, hiyo bajeti tu aliyoitumia OGS kwa msimu mmoja ni kufuru, Poch atakuwa ametumia kwa miaka kadhaa
3. OGS level sio premier League wala championship mkuu, jamaa ana uwezo mdogo sana kwenye kufundisha soka
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu vizuri sana huyu jamaa. Maana ni mbishi kinyama halafu hanaga hoja na sources za ukweli yeye kila siku nikuponda tu Ole na Paul.
Utasema anaijua Manutd kuliko Man united yenyewe inavyojijua.
Ole ndo msimu wake wa kwanza Hutu tayari jamaa kashaanza kumpiga vita. Anasahau lengo ni kufanya rebuilding ya muda mrefu.
sasa hivi tuna vision gan mkuu?Mimi nilishaweka msimamo wangu humu, kama anakuja Dof na tunaweka vision mpya na anaona ole hafit vision yake then kwa moyo safi kabisa Akiondoka ole nitakubali.
Ila kugamble tena na poch na kuamini ni bora kuliko watangulizi wake ni hatari sana.
LvG alikuja na vision yake na philosophy yake tukamuangusha na kusajili tunavyojua sisi, same kwa mou.
Sasa hivi tuna vision ni vyema tuendelee nayo long term matunda yatapatikana.