sina uhakika huko china alikuwa analipwa kiasi gani...
Jamaa asije akatuletea CORONA buresina uhakika huko china alikuwa analipwa kiasi gani...
kwa mujibu wa fabrizio romano anadai ya kwamba klabu ya man utd wamekubaliana kumlipa ighalo kiasi hicho cha pesa.
Duuh!! Kama ni hivo anachukua mpunga sawa na De Gea.sina uhakika huko china alikuwa analipwa kiasi gani...
kwa mujibu wa fabrizio romano anadai ya kwamba klabu ya man utd wamekubaliana kumlipa ighalo kiasi hicho cha pesa.
Dogo anadaka sana huyu hana tofauti na Keppa Aziza shabalabagara hapa mumeulaSijaelewa hapa jamani huyu dogo nani anamfahamuView attachment 1342721View attachment 1342722
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anadaka sana huyu hana tofauti na Keppa Aziza shabalabagara hapa mumeula
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbaya, nimechek highlights zake youtube ni killer mzuri tu, akiwa ndani ya box hana papara finisher mzuri tu, pia mzuri kwenye kupunguza mabekiBREAKING: Manchester United have reached an agreement with Odion Ighalo on personal terms and salary over a six-month loan from his parent club, Shanghai Shenhua, with an option to buy the 30-year-old.
#Chanzo: Sky SportsView attachment 1342765
Sent using Jamii Forums mobile app
...na bado!Kweli maisha yanaenda kasi sana . Yani leo hii Man U imekua unga unga mwana inaokoteza wachezaji
Umebugi Mkuu, kwenye one on one Martial anafunga sana
Martial shida yake sio fighter, na ni aina ya matriker wale wanataka kufunga perfect goals..... Martial hawezi fungia tako, hataki kufungia dochi, hayupo tayari kufungia tumbo
Anapenda kufunga magoli flani hivi, nadhani nimeeleweka
Kwa hiyo akipikiwa vizuri atafunga sana
Kinachonipa moyo kuhusu ujio wa BF ni kwamba, mabeki wakikaa vibaya, anapiga mwenyewe na kwa asilimia kubwa yupo on target
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihiODION IGHALO sina tatizo na huyu jamaa,Ni finisher ,Ni fighter hana mambo mengi ya kupiga Chenga chenga,kufinyafinya mabeki Mletee mpira mzuri tu anaingia kambani analijua Goli vizuri sana Atawasaidia sana sana.
Uyu martial takataka??? Akitoka apo man u awezi pata naomba ata QPR au Bolton ...ni mojawapo ya mchezaji mzembe kuwahi kutokea...Sio man U tu ligi nzima ya uingereza hakuna kama Martial linapokuja suala la conversion rate, mara chache sana awe kwenye nafasi ya kufunga akose.
Msimu uliopita alifunga goli 10 kwenye mashuti 39 tu, best record kwenye ligi
Who were the most clinical players in the Premier League this season?
The Premier League Golden Boot was extraordinarily shared between three players this season. Liverpool stars Mohamed Salah and Sadio Mane and Arsenal striker Pierre-Emerick Aubameyang were all wort…talksport.com
Vip kuhusu dada Leno pale arsenal, kazi kutingisha kijambio tu langoni..Dogo anadaka sana huyu hana tofauti na Keppa Aziza shabalabagara hapa mumeula
Sent using Jamii Forums mobile app