Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Best comment

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kule PSG ni regular player na yupo vizuri sema Ligue One hatuna mzuka nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeuzwa mapema kwa reasonable price, tungeweza kupata mbadala

Tatizo ni kwamba OGS hakuwa tayari kumuuza japo kirusi alionesha amechoka kukaa United
Hakuna timu iliyosubmit reasonable bid. Hata mi nlitaman aondoke ila sio kwa bei rahisi....Ndio mchezaji pekee creative tulio nae kwenye timu pamoja kwamba ana ukike mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Pogba mnamchukulia poa sana. Hakuna kiungo aina ya Pogba duniani kwa sasa. Timu ni muhimu iwe na players wenye talent na entertainers hata km work late yao ni ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau funga huo mjadala
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani bado yupo West brom, au Everton si alishaondoka (mpito, mpito, mpito)

Na kilichopo ni kwamba pembeni alichezeshwa occasionally, haikuwa kwamba sasa yeye ndio atawapisha wengine halafu awe anatokea kushoto. Lukaku ana ego, kumpisha Rashford au Martial ili yeye acheze pembeni ni kama matusi kwake

After all hakuwa established player, kwa hiyo alikuwa tayari kujifunza (malengo ya loan) kwa kuwa deployed kwenye namba tofauti tofauti. Kuna umri wa kurushwa namba kwa kuwa unajua ukifika muda wako utacheza namba yako, sasa yeye yupo 26 years halafu ghafla anaambiwa atokee pembeni (sio kwa mechi moja au mbili, yaani kocha ndio kaamua)

Ni sawa na sasa anavyochezeshwa Greenwood pembeni, usitegemee akiwa na miaka 25 atakubali kuwekwa pembeni

Nifukulie na mechi za Ubelgiji tuone ngapi (ukiacha ya Brazil) alichezeshwa pembeni na ngapi alicheza katikati ili tujue kwamba kweli Martinez huwa anachezeshwa Rom pembeni kama unavyotueleza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Pogba ana nini cha ziada kiasi useme hakuna kiungo duniani aina ya Pogba

Sidhani kama anaingia hata top 5 ya viungo bora pale uingereza
Watu Pogba mnamchukulia poa sana. Hakuna kiungo aina ya Pogba duniani kwa sasa. Timu ni muhimu iwe na players wenye talent na entertainers hata km work late yao ni ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ighalo to Man Utd?



Manchester United

Lots of chat about Manchester United being in talks to sign former Watford striker Odion Ighalo on loan from Shanghai Shehnua for six months.

We will try to firm things up for you on that one.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…