1. lukaku mwezi wa tatu amerequest kuondoka mwenyewe, hii ni kauli yake
“Solskjaer has my eternal respect. He understood me when I said in March that it was time for me to leave.
“I have been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26.
“Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.”
hivyo ole hakutaka kumuuza na alikuwa anambembeleza abaki, kama unavyomuona Rashford anatokea pembeni ila anafunga sana magoli ndio Ole alivyokuwa anamuona Lukaku atokee kulia na kufunga (timu ya taifa Lukaku pia anatokea pembeni).
hivyo hizo stori za ole ndio amemuondoa Lukaku ni chai tu za kijiweni.
2. martial ndio fundi wetu kwenye attacking yeye ndio anaunganisha timu, nikukumbushe tu alivyoumia hatujafunga zaidi ya goli 1 mechi zote ushahidi wa matokeo huu
View attachment 1340090
hii ni stats ya toka december ila itakusaidia kidogo record ya man utd na martial na bila martial
With Martial starting
Played: 15
Won: 11
Lost: 3
Drawn: 1
Goals for: 33
Goals against: 15
Points per game: 2.26
Win rate: 73.3%
Loss rate: 20%
Goals per game: 2.2
Goals against per game: 1
Without Martial starting:
Played: 18
Won: 5
Lost: 6
Drawn: 7
Goals for: 19
Goals against: 22
Points per game: 1.16
Win rate: 27.8%
Loss rate: 38.9%
Goals per game: 1.05
Goals against per game: 1.22
tungecheza mechi zote bila martial sasa hivi tungekuwa tunashindana na Aston villa kwenye kushuka daraja, na tungecheza mechi zote na martial sasa hivi tungekuwa nafasi ya pili tumetulia
kama unavyomuona firmino pale liverpool yeye ndie anaewafanya mane na salah wawe na viwango vikubwa kuliko uwezo wao, kuna movement zinafanya kwenye 4-3-3 ambayo striker anatakiwa acheze kama false 9 ili magoli mengi yatoke kwa watu wa pembeni.
Nilimaanisha wale... Ninyi mkanishambulia mmKwani wewe ulisema wale mashabiki waliochoma nyumba ndio stupid...... Soma tena ulichoandika
Sent using Jamii Forums mobile app
unavyoongea wewe ni habari za nje za ndani unazijua? unajua mazingumzo ya ole na pogba walivyoongea na walivyokubaliana?Pogba alitaka kuondoka, mbona OGS amembakisha mkuu
Tena Pogba ameonesha hivyo publicly kabisa
OGS partly ana makosa, isitoshe alimuonesha Lukaku kwake sio muhimu ndio maana Lukaku akaona his time at Man Utd was up
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaha unamuwaza tena LVG.Yaani tunashindwa kupiga pass za uhakika tu, sterling katukosa goli la wazi
LVG angekua na hiki kikosi i beliv tungekua moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule babu uwa simsahau, yule ndie pekee alikua anafanya rebuild inaonekana sio hawa kina OGS timu no confidence inashindwa kupiga pass hata tano tu za uhakikaHahahaaha unamuwaza tena LVG.
Tatizo lake ule mfumo wa 352 wachezaji walishindwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hapo kwenye pasi kwakweli huwa nashangaa. Timu haiwezi kabisa hata kupiga pasi 20 za uhakika.Yule babu uwa simsahau, yule ndie pekee alikua anafanya rebuild inaonekana sio hawa kina OGS timu no confidence inashindwa kupiga pass hata tano tu za uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa elewa kwann mpaka sasa OGS hajafukuzwa? Hakuna cha rebuilding hapo, anaipotezea muda club tuIla hapo kwenye pasi kwakweli huwa nashangaa. Timu haiwezi kabisa hata kupiga pasi 20 za uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Maguire kasimama sana as Team Captain..Hii timu bhana inakufanya baadhi ya siku ujione una timu, siku nyingine bure kabisa
Brilliant performance Maguire, fantastic performance Degea, Matic, Fred
Wonderful team performance especially when we were one person deficient, but it was not enough
Sent using Jamii Forums mobile app
Not really
toka msimu uanze mechi 25 sisi na wolves pekee ndio tumeweka cleansheet na man city, na tumemfunga back to back etihad, united spiritHii timu bhana inakufanya baadhi ya siku ujione una timu, siku nyingine bure kabisa
Brilliant performance Maguire, fantastic performance Degea, Matic, Fred
Wonderful team performance especially when we were one person deficient, but it was not enough
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio shabiki wa MAN U.Nashindwa elewa kwann mpaka sasa OGS hajafukuzwa? Hakuna cha rebuilding hapo, anaipotezea muda club tu
Leo city wangekua makini wangefunga magoli si chini ya mawili
Yaani kuitazama Simba Sc ni raha zaidi kuliko kuitazama man utd ya OGS ndio maana sishangai fans kutaka kumtoa roho yule Woodward
Sent using Jamii Forums mobile app