BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Hizi tabia zako za kichoko hizi angalia usije ukakalia nyama(kipande),kazi kujipitisha tu kwenye magheto ya wanaume
Hakuna kundi lolote kubwa la mashabiki ambalo lipo against na Ole.
mashabiki hawataki kocha, wanataka mabadiliko ambayo hayana mahusiano na kocha. wakimfukuza ole watakuwa ndio wamemimina kabisa petroli fujo itazidi.Si watazidisha moto kwa bodi na Management so ole atakosa kazi maana kuimprove kiwango cha timu tunahitaji mwalimu wa kueleweka. Huyu Ole ovyo nadhani sasa management itaelewa ni kanafiki kama angekuwa anaongea ukweli nyuma ya Ed isingevamiwa.
So now wanajua anachoongea sio ukweli baada ya kuona hasira za mashabiki wanaoona no improvement.
Tusi ni lipi hapo
Kwan naye kachoma nyumba ya bosi wakeWewe mpuuzi basi kama sio tusi ngoja mimi niseme, bi mkubwa wako ni stupid
Vipi, umefurahia sifa hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
mashabiki hawataki kocha, wanataka mabadiliko ambayo hayana mahusiano na kocha. wakimfukuza ole watakuwa ndio wamemimina kabisa petroli fujo itazidi.
mashabiki hawataki kocha, wanataka mabadiliko ambayo hayana mahusiano na kocha. wakimfukuza ole watakuwa ndio wamemimina kabisa petroli fujo itazidi.
Pep katia watikisa nyavu watano
MUFC akitoa draw au kushinda leo siingii humu wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan naye kachoma nyumba ya bosi wake
Mkuu fujo gani zitaongezeka? Mimi naona akiondoka shangwe zitaongezeka. Ni kocha gani mwenye akili timamu akamuona Martial ni wa maana kiliko Lukaku.!
Sent using Jamii Forums mobile app