Naomba niwakumbushe wanaodhan man u Leo anashinda kirahis ,na wamebeti , huo uwanja anaoutembelea man u Leo ni sawa na manungu turiani wa mtibwa , Watford kalambwa hapo hapo wanabak wanalalamika ,uwanja ni mbovu , wenyeji wanaujulia , hivo natoa angalizo mapema,
View attachment 1335554