[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa ushauri wako. Timu inapita katika nyakati ngumu ni muda wa mashabiki kufarijiana, na sio kutakana na kukandia timu.
Ukisema utukane kuanzia wachezaji, kocha, mgt yote itasaidia nini sasa?
Kuna siku flani mwaka juzi nilikuwa bar flani naangalia mechi ya ARSENAL NA LIVERPOOL.
Kukazuka ugomvi baina ya mashabiki wa ARSENAL na LIVERPOOL. Kuna mzee wa umri kama miaka 60's akawa anasema
Sasa nyie mnataka kupigana na kuuana hapa wakati timu yako unayoishabikia ipo uingereza wala hawakufahamu, na hata ukifa hapa timu haiwezi kukupa msaada.
Si bora ukagombane kule uwanja wa taifa kwenye mechi ya SIMBA na YANGA, hata ukiumia management na wachezaji wanaweza kusema huyu mzee tulimuona jukwaani anapambania timu yake wakakupa pole.
Haya basi uaneni hapa tuone kama hiyo Liverpol na Arsenal itakuja kukupa msaada.
Sent using Cash Money Wings
Lazima tukubali kuwa;
✓Uongozi na makocha wametufikisha hapa kwa kuwa hakukuwepo na plan za kueleweka..Tumeishia kusajili sajili hovyo tu
✓Uwezo wa Ole ni mdogo na ukiongeza na wachezaji waliopo United kwa sasa basi ndo balaa tupu..Kikosi tulichonacho ni matokeo ya kazi ya bodi na kocha..
-Lukaku kaondoka,no replacement
-No proper Right winger for Years now
-Smalling kaenda on loan huku Jones akiendelea kutamba
✓Tunachotakiwa kuelewa ni kuwa hamna kocha anayejielewa ambaye atakiamini hiki kikosi tilichonacho kwa sasa..Lazima tu atataka wachezaji..Let's keep Ole's problems aside
✓Kutokumsajili Bruno Fernandez pia sio suluhisho la matatizo yetu..ni bora aje tupambane tuingie hata Top four,Summer transfer tuweze kuattract hata wachezaji wazuri kiasi..Otherwise watu waanze tu kampeni za Ole out
Tetesi zinasema ikitokea ole katimuliwa basi southgate atapewa timu. Huyu kocha hana lolote pia kama kina ole tu
Hatari mzeeKutifua uwanjani kama linguruwe pori limenaswa na mtego wa jangili bado linakula mshahara wa bure na kupush kitu cha Lambo heko zake
Sent using Cash Money Wings
Atajaza waingereza kama woteTetesi zinasema ikitokea ole katimuliwa basi southgate atapewa timu. Huyu kocha hana lolote pia kama kina ole tu
DaahhhNaomba niwakumbushe wanaodhan man u Leo anashinda kirahis ,na wamebeti , huo uwanja anaoutembelea man u Leo ni sawa na manungu turiani wa mtibwa , Watford kalambwa hapo hapo wanabak wanalalamika ,uwanja ni mbovu , wenyeji wanaujulia , hivo natoa angalizo mapema,View attachment 1335554