Manchester United (Red Devils) | Special Thread

OGS out of depth, ukimtazama anatia huruma

Positivity pekee, tumepigwa tuone haja kusajili na kumpumzisha OGS

Sent using Jamii Forums mobile app
Man inahitajika overhaul mkuu, kuanzia Ole, Edwood na management nzima. Kuanza upya sio mbaya.

Ole hamna anachojenga na akina James. Timu haina pattern, system inaruka ruka tu. Yaani Burnley walikuwa very comfortable leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa ajabu sana huyu....timu yeyote ikija inamtaka mchezaji wanauziwa anabakisha vitoto na ana replace kwa kuchukua vitoto vingine.

Ferguson kwanini uli quit.. angalia matatizo Sasa tunayopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
√Martial,James,Perreira=Trash,,Hawastahili kuwa kwenye 1st eleven ya United

√Ole gunnar naye anatembelea upepo wa vijana wadogo ili kuonewa huruma..Sasa yeye anadhani Lingard atabadilika gafla aanze kutoa assist na kufunga kama KDB??

√Wazungu nao muda mwingine ni wajinga..timu ishalala mbili bila nyie mnakaa uwanjani kufanya nini??

√Ed Woordward+Ole gunnar=Cardiac arrest pill

√Ole hana mipango kabisa anafanya tu Sub akitegemea maajabu yatokee..Eti Lingard,
 
Kocha wa ajabu sana huyu....timu yeyote ikija inamtaka mchezaji wanauziwa anabakisha vitoto na ana replace kwa kuchukua vitoto vingine.

Ferguson kwanini uli quit.. angalia matatizo Sasa tunayopata

Sent using Jamii Forums mobile app
tehtehteh Pole kaka ndio ukubwa mtazoea tu kama hamjazoea bado, hivi ndio tulikuwa tuki type sio zamani sana hahaha! Bonge la Beki Mnae Migwayaa!! atawasaidia mpeni Ole muda jamani baadae mtapata angalau hata DJ! aje kufundisha. YNWA!
 
dah unataka kumfanabisha Lingaard na KDB si bora nijinyonge tu kutoa mapande ya magoli kazidiwa na Kipa wa LFC!
 
tehtehteh Pole kaka ndio ukubwa mtazoea tu kama hamjazoea bado, hivi ndio tulikuwa tuki type sio zamani sana hahaha! Bonge la Beki Mnae Migwayaa!! atawasaidia mpeni Ole muda jamani baadae mtapata angalau hata DJ! aje kufundisha. YNWA!

Ebana ehe.. leo umeibuka lol, kwasababu United tumefungwa lol

Haya hongera sana naona kipofu kaona mwezi msimu huu mnanyanyua

Ngoja tutimue watu kwanza msimu ujao tule vichwa vyote

rubaman umemuona kijana anavyofurahia matatizo yetu
 
hahah usimuingize ndugu yangu Rubaman kwenye balaa lako hahaha akifikiria beki zake anaona kwanini hakuwa mchezaji mpira akalipwa pesa anazolipwa Mustafi kweli sio kumuomba Mungu tu inataka nabidii waifanya bidii kufika pale tehteh!
 
Jana kwenye kibanda umiza jamaa walikuwa wanabishana kati ya Mustafi na Van Dyke nani mzuri

Wengi wape, ushindi ulikwenda kwa one and only Mustafi the big man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…