Ole anawaambia kila sik washabik wa man kua anaiona man u ipo kwny right track kbs
.. Washabik wengne wakishnda game 2 au 3 wanasahau kua hii team ni very average.. Mtakubal mtakataa lkn kipind chenu cha kupitia mateso ndo kama kinaanza..Liver chake amemaliza.. Arsenal yy bd yupo humo