Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh Bailly mbona yupo au ni kocha fala? Si angetumia ule mfumo wa Liverpool Jones asugue bench vizuri.
 
Chongy anaondoka, agent wake ame confirm

Sio kwamba amegombana na OGS, lakini anahisi OGS hamuamini vya kutosha, hivyo hayuko salama katika kukuza kipaji chake
Wakuu naona sky sport wanasema Tahit Chong ataondoka free kwenda Inter Milan baada ya kuhitilafiana na Ole. Halafu nimesikitika pia kama ni kweli tunamkataa Edson Cavan ambae anataka kuja eti kisa tunataka kunyanyua na kutegemea vitoto zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check Burnley anakupiga leo..

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martial anakosa goli kocha kakunja nne tunafungwa kashika tama duh huyu huyu kweli mtoto wa home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…