Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo Lazima Tuwashikishe adabu Tottenham kwa kuwapa kipigo kizito
 
hodi humu... mfarisayo na Belo na mtotowamjini na wengineo...je mtawaoa hao kama tulivowaoa asenali?!

ingawa leo natamani totts washinde bado nawatakia kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
hodi humu... mfarisayo na Belo na mtotowamjini na wengineo...je mtawaoa hao kama tulivowaoa asenali?!

ingawa leo natamani totts washinde bado nawatakia kila la kheri.

Hahahaha! Kaka, namtafuta mwalimu wako wa kiswahili ajaribu kukusaidia mwanafunzi wake hapa, hyo sentesi yako ya mwisho ina maana gani??
 
Last edited by a moderator:
RVP!
Duuh! Huyu jamaa ka ni kazi kutumwa, basi anaifanya ipasavyo kazi ambayo SAF kamtuma, ametubeba sana this season!
 
Manda, umefichwa wapi siku hizi,umeadimika sana kijiweni
 
Last edited by a moderator:
Manda, umefichwa wapi siku hizi,umeadimika sana kijiweni
For sure mkuu nimekua adimu sana, kind hooked na majukumu ya kidunia hayahaya! Ila nimerud, tutaanza kuonana quite often kuanzia sasa.
Bila jamvi lilikua ktk mikono salama ya wakongwe kama wewe hvi.
 
Last edited by a moderator:
Vvigoli vya mwisho vinaumaga kishenz, ila kaz nzur dana kwa beki wetu.
 
kumbe ndo maana walikuwa kimya kumbe walijua watafungwa tena...

duu bora mmechukua pointi moja kuliko mkose zote sita..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…