Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Williams , McTominay, Pogba, Rashford, Fernandes kama likienda sawa + Fred uelekeo si mbaya ni suala la muda tu
 
Sio mbovu zote bana manchester city ni timu nzur sana sema mpira unakwenda na bahat kuna muda bana kwa sasa liverpool bahat ipo kwenu lakin manchester city anaupiga sna kwa england
Kuna Bahati na Ubora,Hakuna timu ambayo haina Bahati ,Unataka kuniambia Last season Manchester city anachukua Treble ilikuwa ni Bahati ile au ulikuwa ni Ubora timu,Mpira ni mchezo wa makosa ukikosea una adhibiwa Ni timu gani inabahati ya kucheza mechi 22 Bila kupoteza kama sio ubora wa timu Mkuu.Sometimes kwenye Credit toa pongezi Fergie ametawala Premier league zaidi ya miaka 13 na ile ilikuwa ni Bahati.
 
Sema had wakina salah wanakimbia wanavua mashat manchester united sio kitoto fikiria ka rashford kamefumua liverpool hakana hata mzuka wa kuvua shat
Hahahahahahaha.........Finally Salah has his goal against Manchester United Nadhani kelele zimeisha sasa.
 

Liverpool nawapa pongezi kwa hilo sikatai wapo safi hamna mahali nimesema wabovu ila sema bahat ipo upande wenu zaidi kuna baadhi ya mech mmechomoka kwa habat sana wolves,aston villa na leicester city hata ya manchester city mnampa chuma 3
 
Bahati tu
Mane amemis chances ngapi
Salah chances ngapi
Unataka kusema Manchester United wali create chances nyingi kuliko Liverpool Mkuu,
Liverpool wame missed a lot of chances to score unasema wameshinda kwa Bahati.
 
Hahahahahahaha.........Finally Salah has his goal against Manchester United Nadhani kelele zimeisha sasa.

Kwa kweli Alihitaj mapungufu makubwa sana kukamilisha hilo tatizo lake hadi alipoachwa peke yake pia hata refa angekuwa makini ingekuwa imetoka sema england loooo binafsi siwez kumzungumzia salah kwa nini hafungi na sijawah najua mshambuliaji ana nyakat zake
 
Bahati tu
Mane amemis chances ngapi
Salah chances ngapi
Unataka kusema Manchester United wali create chances nyingi kuliko Liverpool Mkuu,
Liverpool wame missed a lot of chances to score unasema wameshinda kwa Bahati.

Hata united hawakuwa na bahat martial na pareira ndani ya 6 unakosaje goli bora hata wakina mane walikuwa wakipiga nje ya 18
 
Wacha nilale sasa hivi ni saa 2:43

All in all timu nzur imeondoka na matokeo mazur na point 3

Wamiliki wa timu wasipowekeza katikati (viungo) tutapata tabu sana sioni haja ya kumfukuza kocha apewe muda tu hawa liverpool kocha wao mwaka wa nne ndipo wanaanza kupata matokeo na kunenepa wengine vijana tu walianza kuota mvi kwa vichapo saiv wanarudi kwenye ujana ni project ndefu sio fupi

Kwanza tushukur hatujala mkono kwa vile tulivyokuwa hovyo kuelekea mchezo huu.

Kwa sasa nyumbani kwa liverpool pagumu sana ndugu zangu na usiombe watangulie kufunga vijana wamejitahidi Pep na ubabe wake hajashinda pale.
 
Key player wenu Rashford amewahi japo kupata goli moja pale Anfield? McTominay anao ubavu wa kumzuia Big Virgil asipige kichwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…