Ukiangalia gemu za hawa Shiefield kuna vitu unaona kuwa ni kocha kavipandikiza..
Leo Ole lazima atimuliwe maana ni kipigo cha mbwa koko anaenda kukipata...
Itoe Chelsea apo ..sisi ndo KING OF ENGALDHakuna mwenye afadhali
Arsenal,Chelsea,Spurs,Man U wote tiatia maji
Haha mutakata vya kusukuma sio?Hatutokata viuno vya kimakonde kama ulivyowakatikia Wanaume wa Newcastle leo..
Kalizoe uno ulilomwagia mwanaume jana ndipo uje hukuHaha mutakata vya kusukuma sio?
Hii man u sisi tunaijua vizuri
Kama Liverpool anawakalisha leo Nu Casto ndo utamuweza?
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mbuzi leo mutashinda kweli? Au mutacheza kama kuku aliyekatwa kichwa..
Achana na ya jana..
Leo tuko apa kutangaza msiba mapema tu ..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Ole lazima atimuliwe maana ni kipigo cha mbwa koko anaenda kukipata...
In Klopp We Trust..
Come on Liverpool
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi leo ikitokea man u ikashinda Nadhani utajisikia vibaya Sana kuliko hata washabika wa Liverpool, au wa man u ikifungwa.Haha mutakata vya kusukuma sio?
Hii man u sisi tunaijua vizuri
Kama Liverpool anawakalisha leo Nu Casto ndo utamuweza?
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mechi ni muda gani?
Nimeona Kwa muda wa kule Kwa mabeberu ni 16:30.
Usije shangaa kuona lingard oleguna anaaanzaSema mech ya leo ka mata ni muhimu sana kucheza hiz mech mbili kaonesha utofaut sehem ya kiungo sio sawa na lingard
Mkuu pole na timu yako mbovu ya chelsea na kocha wenu lampard kama mwanafunzi wa field second yeaLeo Ole lazima atimuliwe maana ni kipigo cha mbwa koko anaenda kukipata...
In Klopp We Trust..
Come on Liverpool
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani
Mkuu kila kitu ni hatua... Sijaelewa uliposema kumtegemea Rashford na kawa kama lulu kwetu like of Ronaldo unamaanisha nini... Ronaldo alianza kung'ara akiwa united na pacing yake ilidevolop steady mapka msimu wa 2007/08 alivyoanza kuwa moto wa kuotea mbali.brother, nimekuwa mzito sana siku hizi kujadili ishu za mipira hususani klabu pendwa ya manchester united ndio maana nimechelewa kujibu hii nukuu yako, nadhani hali hii inachangiwa zaidi na kukosa kwangu kuziangalia takribani mechi tano zilizopita za manchester united.
mara nyingi naishia kusoma comment kimya kimya kila thread then natafuta mlango wa kutokea
===============================
kwa mwenendo wa team yetu nyakati hizi sidhani kama mind games zinaweza kutuletea faida dhidi ya adui aliyetuzidi kiubora mara mbili zaidi, muongo mmoja uliopita hizi mind games zilikuwa zinatusaidia sana pindi tunapokutana na maadui zetu kwa sababu tulikuwa bora kimkakati kuanzia ubora wa mwalimu, ubora wa bajeti dhidi ya adui mpaka ubora wa kikosi.
tumefikia hatua wachambuzi uchwara wa soka wanapofanya mlinganisho wa ubora wa vikosi kati ya timu mbili pinzani klabu yetu inashindwa kuingiza angalau wachezaji wawili kwenye kikosi
nimeikuta hii taarifa kupitia page ya manchester united updates muda huu
Manchester United squad members to face Liverpool:
rashford amekuwa lulu kama ronaldo au messi kiupande wetu, (tumerudi nyuma sana)
- De Gea, Romero, Grant,
- Jones, Wan-Bissaka, Lindelof, Williams, Bailly, Maguire, Dalot, Shaw,
- Lingard, Matic, Fred, Pereira, Gomes
- Mata, Chong, James, Martial, Greenwood