Unapinga hoja za watu kwa kuandika Bla bla tu Leta hoja za kueleweka Mimi nimesema Wilfried Ndindi ni bora mara miles kwa Mc Tominay,Unakuja kuniambia sijui akija Liverpool sijui nini Wewe kwa uelewa wako Position anayocheza Mc Tominay akija kwenye Squad ya Klopp anaweza kuingia F11.
Duh kaptain mpya mechi ya kwanza anacheza na Liverpool kweli noma ila kwa mimi nafikiri alistaili Degea hiyo nafasi
Naona FA wamelifanyia kazi, maana Arsenal tulipeleka clip kama hizo ,kuonesha Mbona VAR inaziachaMfano mdogo ni mechi Arsenal dhidi ya Cristal Palace, waamuzi waliamua kutumia VAR na Auba alipewa red card
Lakini kwenye game ya Liverpool dhidi ya Spurs, Robertson alifanya kosa la namna hiyo hiyo lakini jamaa hata hawakujisumbua kuangalia VAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mctominay yupo vzr , bas tu hasemwiMh! Hapa kwa Mc tominay ni mawazo yako ila hata me liverpool mwenzako nakupinga. I wish siku moja huyu jamaa angetua Anfield tungebeba vikombe mpaka vibakuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Solskjær press conference vs dippers (A)
Rashford injury update
I can’t tell you now, as I said with Harry a few weeks ago, of course, we’re gonna give him the absolute amount of time to find out, we’ll do some more checks and treatment with him today, yesterday was a recovery day, I’m not gonna hold my breath I would probably think he wouldn’t be ready but let’s see. 48 hours, so let’s see.
Kwa hiyo Mkuu kumbe una imani walau na SoshaNina uhakika akipata viungo wabunifu tutafunga zaidi ya sasa
OGS bado haja prove uwezo wake kiivyo, bado ana safari ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
issue sio ubahiri, usajili una mambo mengi sana. muda mwingine jiulize kwa nini usajili wa mchezaji fulani timu nyingine zimejiweka kando mmeachwa peke yenu mnapambana?The Bruno Fernandes deal is off. United refused to meet Sporting's demands.
MAN U bwana Ubahili mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
issue sio ubahiri, usajili una mambo mengi sana. muda mwingine jiulize kwa nini usajili wa mchezaji fulani timu nyingine zimejiweka kando mmeachwa peke yenu mnapambana?
mbona haaland haikuwa hivyo? juve, mara madrid
de light timu kibao na akaenda juve.
ila huyu hata arsenal tu hawana time naye ni nyie tu man utd.
ni mzuri sana eeeh?
Sent using Jamii Forums mobile app