Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daaa kikosi cha leo mkuu tutampa lawama rashford na de gea hiv ndivyo wachezaj wanavyoharibika kisaikolojia wakienda timu zingine wanafanya poa
 
Post hii hapa
Itakuwa full burudani

Ile gemu ya ligi nilikuwa na kiimani flani kwamba tunaweza kufanya kitu,ila hii nimeamua tu niangalie burudani,whatever the result,mimi sina shida
Na hii zimenipa nguvu kwa mara ya kwanza nimeogopa kuangalia timu yangu ila mliposema matokeo yoyote fresh ni burudani wacha nicheki ila panado muhimu kuwa nazo.
 
Ngoja tuone Mkuu, kama tunafungwa tunafungwaje

Ila kama kesho asubuhi una kazi zako za muhimu, lala tu, usije kujilaumu kupoteza usingizi wako
Daaa kikosi cha leo mkuu tutampa lawama rashford na de gea hiv ndivyo wachezaj wanavyoharibika kisaikolojia wakienda timu zingine wanafanya poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka yule babu anaitwa Harry Rednap ligi kabla haijaanza alifanya uchambuzi sky sport akapendekeza manchester united ifanye usajiri wa wachezaji saba kuziba mapungufu, na akaonya endapo Ogs hacposajiri idadi iyo tutakua na msimu mgumu sana, mim sikumuelewa kabsa yule babu, leo nakumbuka maneno yake

Wakati naandika hii text tunafungwa la pili, duuh
Tunaweza kula mkono hii game

Washabiki wa liverpool na asernal tuwaombe watufundishe mbinu za sisi fans wa utd ya kuwa wavumilivu, wao waliwezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…